@ally_el_bakry: 🕌 “Wanaume ni wasimamizi wa wanawake, kwa sababu Mwenyezi Mungu amewafadhili baadhi yao…” (Qur’an 4:34) ➡️ Uislamu umetufundisha heshima na majukumu ya kila mmoja. Usipite bila kushare! Wanaume wamepewa jukumu la kuwasimamia wanawake, si kwa ubabe, bali kwa heshima, ulinzi na upendo. Hii ni amana kutoka kwa Mwenyezi Mungu.” “Usipite bila kushare 👉 huenda mtu akapata mawaidha. Follow for more ✨” #muslim #dini #quran #video #trend