Huyu ndo pastor wa kuaminika sasa.wale wengine ni matapeli.
2025-08-28 09:03:16
444
Walter Walter phabian :
😂😂😂😂 pastor 😂😂😂inatoshaa😂😂tunaomini kuwa pastor amesema ukweli tujuane
2025-08-28 15:20:59
187
Maureen Wambua :
wapiye ukweli matapeli hao
2025-09-01 18:08:28
0
Christel cadette b :
pokeya mume nani alimuacha ukamu chukuwe? kwani apa akuna wa congomani tujuane?🙄🙈🙈🇨🇩🇨🇩🇨🇩
2025-08-28 08:36:28
185
kairi :
Hii si hekima ni siasa, haimake sense . hata hao wengine hawasemi watu wasifanye kazi, ni wafanye naye MUNGU abariki , na tena kuna miujiza yaani, waweza pata hiyo gari kwa haraka sana kupitia neema ama hata mtu tu ukiwa kwa kazi akatokea na ukapata hiyo gari njia rahisi, so wacha kutaka kuonekana huko vizuri kwa wale wenye hawawezi kufikiria sana ama hawana hekima. vyenye unasema YESU, YESU alitenda mujiza na kwa dakika chache wakapata samaki nyinyi; na vyenye hawakuwa na YESU waliangaika usiku kucha. so maombi na neema inaweza kufanya ukafanikiwa haraka. hao wa kushinda kanisa si mchungaji huwaita ni wenyewe maybe hata hao wachungaji hawawajui.
2025-08-28 18:28:16
38
#user6110193372903miriamu :
si mulete huyu pastor Kenya 😂🤣🤣🤣🤣
2025-08-28 10:55:37
355
Rose Muhando :
Neno la Mungu halipindishwi Akisema anesema halibadilishwi na matakwa ya Mtu, Imeandikwa ASIYEFANYA KAZI NA ASILE !!
Kkujizima data unadhani Mungu atabadilisha alichosema!!?? Eti hekima,sikia
Hekima za wanaadamu mbele za Mungu ni UPUMBAVU
2025-09-01 17:50:29
2
C. NK🇳🇦 :
this man and Joshua Selman ❤❤❤❤
2025-08-28 11:01:49
72
KDB 17 :
potelea pote😂😂😂
2025-09-01 09:19:34
0
I'm Eric :
Hii akili n ya Kenya, anayepinga asimame🤣🤣
2025-08-28 18:31:30
53
moha Arsenal :
Am a Muslim but I really like this pastor for telling them the truth
2025-08-29 19:40:51
49
Essie🇰🇪 :
the only pastor I know he always speaks the truth
2025-08-28 10:17:02
87
mluhya Mpenda Bidii :
Akuna pastor napenda kama huyu, useme ukweli 😂😂😂😂
2025-08-28 20:32:00
130
lastborn wamary4 :
watu wa Ezekiel na nyota zenu za takataka mmesikia 🤣🤣🤣
2025-08-29 07:16:30
33
Alusa Bonventure :
Is this a pastor really! I've never heard him reading or preaching scriptures or reading the Bible!
2025-08-31 20:58:00
1
happy soul :
ongeza vipass sauti zikuwe tano😂
2025-08-30 12:35:04
7
🎙📸Woppa🇹🇿💯🎮 :
pasta ni huyu sasa wengine wana jaza
mitungi ya gesi na midomo
2025-08-28 10:07:03
34
serina_ngobe :
wachungaji leo ni leo mko wapi
2025-08-28 20:44:33
5
Kim LUCIOUS🇰🇪🇰🇪 :
the love i have for this pastor 💕🙏🙏💯
2025-08-28 14:29:46
34
GWIZZA 💪✊️ :
sasa na yesu hakufanya kazi alilipa vip kodi sijakuelewa mm
2025-08-28 17:04:12
7
ngesh daboprint :
wale wafuasi wa Ile ndevu mbili hawawezi elewa
2025-08-28 18:13:05
41
Dr. Kanchori🩼🩺 :
the best truthful man of God, great message 🥰
2025-09-01 19:07:20
0
Vincent Barasa Maina :
watu wa Pst Ezekiel na Manyuru mumeskia hii?
2025-08-28 12:32:45
110
Dan.M325 :
Hii ndio injili isiyo pendwa na wengi
2025-08-28 17:56:28
33
Davi wa mattress :
Pokea mke ukamuokote wapi😅
2025-08-29 05:58:15
13
To see more videos from user @pastordanielmgogo, please go to the Tikwm
homepage.