@simbapulsetz: Akigusa tu mpira – kipa anajua ni hatari! Huyu si mwingine bali ni Seleman Mwalimu, mfungaji mpya wa Simba SC! Muda wa kubisha umekwisha – ni wakati wa magoli kuongea! Karibu kwenye familia ya mabingwa – Simbapulsetz #KaribuMwalimu #Simbapulsetz #SimbaSC #GoalMachine #WekunduWaMsimbazi

Simbapulse_TZ
Simbapulse_TZ
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 28 August 2025 13:50:21 GMT
468966
11827
107
1384

Music

Download

Comments

simbapulsetz
Simbapulse_TZ :
Wanasimbaaaaaa 💯🏟️♥️♥️
2025-08-28 14:16:52
10
kaunda2550
Kaunda Hamza :
🤓🤓🤩@n
2025-09-07 18:18:54
1
leah.magege
Leah Magege :
badilisheni basi tarehe ya simba day wengine siku hiyo tunafanya mtihani wa taifa
2025-08-29 05:23:21
0
mrssmah1
khadija helmani :
Simba dam dam
2025-08-28 18:34:02
3
user4975102293360
happy ness@ Ramadhan :
hata hatulingi
2025-08-30 18:32:55
0
stan00000000000000000007
starboy007 :
mbona simuon eli mpanzu nan katengeneza kamusahau kumuweka tutakosana
2025-08-28 22:00:24
1
zawady.com
zawady.com :
maema shem wenu nimemuwahi ni wangu
2025-08-29 17:35:55
2
ramla5917
Ramla :
🥰🥰🥰🥰tupooo
2025-08-30 15:20:21
2
user5152424800677
ramadhan ally :
Sanaaaa😅😅😅😅😅😅
2025-08-29 07:13:59
1
user98261799322054
lovely 🌹 :
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤i love lion❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
2025-08-28 19:53:00
2
user6505438780039
vagrant minx :
my thimbaaaaaa🥰🥰🥰🥰
2025-08-29 06:46:19
0
ramadhaniamiringu
Ramadhani Amiri nguzo :
tupo🥰🥰🥰😜😜
2025-08-30 17:56:19
0
ofcicar
grace :
❤️❤️yanga wajiandaee!saN aisee
2025-08-29 10:20:30
1
user8517167298483
aneth :
♥️♥️♥️♥️♥️♥️forever
2025-08-29 17:28:24
3
johnmachete58
JohnMachete :
simba nguvu moja
2025-08-29 13:04:07
2
andewdomisiani
Avivu :
wataxema mximuhuu😆😆
2025-08-30 05:29:03
0
ayubuwilson1
ayubuwilson1 :
nguvu mojaaaa
2025-08-30 14:45:50
0
estheribrahim
estheribrahim403 :
simba chama lang♥️♥️♥️♥️♥️♥️🙏
2025-08-28 18:13:46
3
hawanimafuru
hawania :
mbona sijamuona yakub suleiman😢
2025-08-29 20:51:01
2
user7367560932770
Glory Peter :
I 💕 Simba
2025-08-28 18:46:57
2
dhahabu229
Dhahabu🥰 :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰ubaya ubwela
2025-08-28 21:17:33
0
grorygrory7
Grory Grory :
uyo semfuko uyo jaman khaaaaa nikahandsome😂
2025-08-29 12:33:30
2
sichoneobadia750
Sichone Obadia :
simba ya wana simba
2025-08-29 12:09:13
1
siwemajohn997
Siwema John :
simba nguvu moja❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
2025-08-28 16:26:48
4
halima34466
Halima :
makini simba akuna matata🔥🔥🔥
2025-08-30 18:56:29
0
To see more videos from user @simbapulsetz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About