@rahimdhahabu: Rais Magufuli: "Siku Mkiamua Mnifukuze CCM Nitakwenda Chato Nikafuge Mbuzi Nyumbani."

RahimDhahabuTv
RahimDhahabuTv
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 28 August 2025 15:24:15 GMT
43018
2234
86
206

Music

Download

Comments

user12066501781958
beka :
mh polepole anaongea lkn sisi watanzania wachache tunamuelea lkn Kuna watu Bado tunamuona mnafiki
2025-08-29 04:16:14
10
1980julius
sulujulio :
Daah dingi bora ingekuwa ivo tungekuja chato kuchukua maujanja na busara zako 😔
2025-08-28 17:04:11
21
rehanamukadam5
Rehana Mukadam :
golden heart...rest in peace baba
2025-08-29 20:00:53
0
abbykopajunior
Abby Kopa Junior :
mh.pole pole anaongea mwnyw lkn hatumuelewi kwakua yupo peke yke
2025-08-28 18:47:31
27
user3503814752938
JJAM :
Mungelituachia huyu mwana Chato wetu SAHIZ angekuwa anajiandaa kuja kusimamia mifugo yake pale Chato ila basi ñdo hatutamwona tena 😥😥
2025-08-28 22:27:13
3
wakaki.d
wakaki D :
😭😭😭 WATANZANIA ni wanafiki sana mtu akiwep huw hatuoni thaman yake hata Polepole tutakuja kumkumbika hivi hivi
2025-08-28 19:31:00
9
jeiker_jow
jeiker :
huyu mzeee naumia sana sana sana sana sana tena saaaana mmnoo, y lakin
2025-08-28 18:02:14
6
mbela.david0
Mbela David :
chuma kama chuma
2025-08-28 20:26:11
9
masemba.masanyiwa
Masemba Masanyiwa :
magufuli ulishanikosesha raha yaduniani fraha yangu ulikuwa ni ww
2025-08-28 18:55:34
10
masounyombe
masounyombe :
Tunayaona baba yamerudi
2025-08-29 03:54:33
6
tika.boy28
Tika boy :
hii ndio ccm nilikua naijua sio hiki kikundi cha wahuni kilichobakia
2025-08-29 10:58:42
2
gedna.17.18.22
Eastlife :
Aiseeee ! jiwe alikuwa mtu wa maana sana🥰sijutii kwa miaka yake nilimuelewa sana
2025-08-28 18:16:03
4
user1652760813273
dogo pengo :
mzee njoo uyaone kaka
2025-08-28 18:00:25
6
nasibu.darabu
Nasibu Darabu :
Uongozi ulioacha alama Hongera sana Rais wangu wa muda wote.
2025-08-29 08:24:39
1
nassormasoud655
Nassor Masoud ali :
Duuuuuuu
2025-08-29 00:12:22
3
user1800876766175
Master peter :
Jaman kuna kaz na kusema kweli Huyu dingi ndiyo alinifanya kufatilia siasa kwa sbb za ukweli wake na kuwatetea waliokua na changamoto leo hii kuna kan
2025-08-29 10:41:06
1
dayoo_junior
Dayoo :
pumzika baba pumzika ulifanya kazi yako kwa huruma na upendo nakujali kila mtanzania. hakika mungu amekuweka Peponi😭😭
2025-08-28 20:27:56
1
akida.tz6
Akida tz :
duuh jamani tume poteza jembe watanzania 😳😳
2025-08-28 20:10:01
3
shirazi333
shiz333 :
Lakini pole pole hawamuelewi uku
2025-08-29 13:19:26
1
shukuru4312
shukuru :
ndo yamezidi sasa
2025-08-28 16:57:50
4
salomemmassy2
salomemmassy692 :
Mtu wa watu huyo mpatanishi huyo,dah Mungu akulaze pahala pema peponi BABA yetu kipenzi wa wanyonge,bado tutakukumbuka sana😭😭😭
2025-08-29 07:37:53
2
alexmpina
mpina :
bado yapo
2025-08-28 19:16:14
6
mudyzeke
mudyzeke :
pumzika kwa amani shujaa wetu wa milele 🙏😭💪 ww ndo ulijua watanzania wanahitaji nini. inauma sana
2025-08-29 06:31:22
1
messenger.17
MESSENGER 1 :
fukuza tu baba
2025-08-28 19:33:14
3
noreformsnoelection2
YESU.NI.BWANA.20 :
YAPO MPAKA LEO😎😎
2025-08-28 16:26:52
4
To see more videos from user @rahimdhahabu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About