@goldytripleseven: b4 u give money to anyone enquire from the holy spirit whether to do so, others are evil ppl who want to make u suffer#witchcraft #goldy777 #christiantiktok #kenyantiktok🇰🇪 #sama28

Goldy🔐777backup
Goldy🔐777backup
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 29 August 2025 07:36:14 GMT
612089
14758
1129
5652

Music

Download

Comments

adanne10
KINARA 🇰🇪🇰🇪 :
ama ni shosh wangu aliniroga😏 I bought my car nikanunua shopping nikaenda kuvisit shosh yangu,nikifika baada ya kunikaribisha swali ya kwanza aliniuliza umeibia nani gari😂😂nikamwambia niyangu akaniuliza umenunua na nini😂😂 ama unafanya umalaya Hadi ukanunua😂😂😂 nikamwambia nimekuletea shopping, guess what 😂shosh alikataa hataki vitu za wizi na umalaya 😂😂aki I have a story to tell. 😂😂
2025-08-29 19:17:40
232
midnighttrain8
Awino ❤️ :
mkienda mashambaa do all transactions with mpesa, don't give anybody cash.i repeat
2025-08-30 03:22:32
138
1o.murch.1996
Nyongesa Esther :
Dawa ya muchawi ni kuwarudishia uchawi yao wenyewe wateseke
2025-08-29 18:10:58
260
justkenaccounts
MarajMaraj 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 :
I took leave days for xmas holidays in 2023, i went home.i came back safe. job which relied on me 100% nikafutua jan 2024. i got another job, in dec same thing. i took leave days, i went home again, came back safe by feb 2025 job ikaisha tena.Your village people are not happy with your success. Stay away.
2025-08-29 16:00:31
172
boniface6397
BONIFACE :
Ukiona mtu akisema hakuna uchawi yeye ni mchawi😡
2025-08-29 17:33:53
785
ogwora.paul.onyie
Ogwora Paul Onyiego :
wacha kuamini uchawi kaka stop kabisa hakuna kitu kama uchawi
2025-08-29 14:15:44
47
zebbycherono
zebbycherono :
I use to call someone whenever am soo sick to come and pray with me only to realize later iwas calling the person to come and confirm how his/ her witchcraft was working. life is 100 percent spiritual
2025-08-29 18:58:50
203
boldx57
Bold X Designs :
There is nothing like uchawi, kupanda na kushuka is part of life.
2025-08-30 03:39:32
6
agwaz41
LaRi Original :
Witchcratcy only deal with you when you believe them
2025-08-30 04:06:05
22
thekrypticgod
Alex Tre :
Kitu hunishangaza ni hao watu hawawezi tumia hiyo uchawi to make their lives better. Uniroge, nikose, wewe ukose, ukae hapo satisfied that now we both don't have sh*t, halafu?
2025-08-30 10:04:51
163
lucy.omondi5
Lucy Omondi :
Na ukituma pesa na mpesa pia anaweza kuroga🤣
2025-08-30 16:18:37
0
kaveshkavesh2
KAVESH📌📌 :
huyo nyanya yake bado ako niende nimuue?
2025-08-29 19:45:36
31
teresatrish5
Trish :
this man is very right, am going thru the same thing cz of helping relatives
2025-08-29 17:27:36
35
_dylan.254
𝑫𝒚𝒍𝒂𝒏. :
Relative help people ni wewe umekataa KUKUFA 😂
2025-08-29 23:19:10
8
magot.bajue
Jojo🩸💌 :
hata avoid kupeana sukari ooh majani pia wanatumia hizo😌😫😫
2025-08-29 20:39:49
71
chunaasalim
chunaa ❤️wa❤️ mamangu ❤️ :
enda kwenyu na slippers , na dera imechakaa😂😂😂😂 masaa ni jioni kabisa watu waamke kama wamekuona ukefika.... shind hapo,salimiana na watu ondoka saa tisa jioni kama unenda town 😂😂😂😂 na unarudi ,kumbe hivyo ndio umefika stage na unaenda wakikuuliza sema umeendea ungavwa chapati town center 😂😂😂 rudi zako kwako never give them chance to know what you do, where or when you are going UKIIITSHWA PESA SEMA HUNA LABDa UMTUMIE NA MPESA, WAKIkUBALI MPESA ,,.waambie uwatumie na aitel money😂😂😂,kusalimiana ovyoovyo na mikono komaa,kupeana pesa ama kuacha nguo ushagoo komaaa😂😂😂usiseme kama unaenda ama unaondoka
2025-08-30 00:19:24
48
660jesica
Jessica :
guys ni mimi nachukiaga kwenda ushaago pekee ama waliniroga nisiwai rudi uko juu tagu nitoke uko January 2023 sjawai rudi nasitamani kurudi uko...Nb wazazi waliedaga kwa Mungu kitambo ...shush ako uko na babuu lkn kuna event tulikuwa tunaeda huku tao tulikutania na wao and I was like nitaeda om kuona nani kama nimeona shushiii yagu bro yagu anaishi tao pia so sionagi reason ya kuenda ushaago mimi😂😂 alafu unapataga wakati sina pesa nasema naeda ushaago adi naadika shopping list nkipata pesa baasi sisikii kueda om 😂😂😂
2025-08-30 15:51:36
9
kanono423
kanono :
Story za kijinga
2025-08-30 08:14:20
1
tabbytabbs18
tabbysdreadlocksalonaks :
Kwani wa kurogana lazima watumie coins?
2025-08-29 14:05:36
5
suzzie_muiruri
🦋Mwari Wa Muiruri 🦋 :
mimi cash sipeangi mtu yeyote ananijua especially family members weee moto wa kuotea mbali Khaii
2025-08-30 04:38:45
18
jullyjulline
Daughter of Zion :
Kumbe sio mm peke yangu mm nlipea auntie 100 same week nlifutwa Kazi😹bt nae akujuwa God alikuwa afungue mlango mkubwa ametry bt wapi mwisho ni kifo chake tunasherehekea
2025-08-29 19:44:46
35
olesi59
Towet :
halafu kuna mimi nkifutwa job lazima kuwe na matanga kwetu 2022 my uncle died kuomba off day mdosi akasema nisirudi job 2023 nkifutwa job the next week my nephew died 2025 march nlifutwa job April my bro In-law akakufa.......eeeei mnisaidie jameni 😭😭😭what might be the issue
2025-08-30 08:12:18
3
miriam.wambui5
miriam wambui :
i don't give out my money kwanza cash.if you don't have mpesa basi pia sina pesa.period
2025-08-29 16:08:15
48
ondiek54
ondiek :
I am a victim of witchcraft from family sources; but the blood of the lamb Will deliver me someday.
2025-08-29 16:43:08
116
peacewamboi
@Gracey87 :
mimi nilipelekewa mahari nahiyo wiki haikuisha kama sijaachwa hadi wa leo 😢😢😢18years ago navile nilikua nimepata bwana tajiri weee kutoka hiyo siku nilichukia watu wote wa kwetu
2025-08-30 20:02:29
5
To see more videos from user @goldytripleseven, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About