@limitless.media.ke: Four traffic police officers arrested for bribery on Nairobi-Nyeri-Embu Highway…. #v#viralvideov#viraltiktokv#videot#tiktokindiat#tiktok#kenyantiktokers#ohanglamusic#politics#maandamano#kenyancomedy🇰🇪

Limitless Media Ke
Limitless Media Ke
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 29 August 2025 08:05:51 GMT
7996
489
38
7

Music

Download

Comments

cesc_who1
Cesc_Wh0 :
SASA wanashika wanne na 99% WA hao traffic officers wote ni bribery goons 🤣🤣🤣 Ni Bulandaa we just!!!! 😂
2025-08-29 08:11:44
5
kenson683
Teflon♀️ :
wote wakipate Kwanza wafike meru😂
2025-08-29 08:26:28
1
barbishherms565
barbish herms :
hii si fair hiyo dow Huwa ya wabigi Hawa mafedi wadogo hukula kitu kidogo sana wewe jua ! walai Mimi hunishiki nikiwa na kirauni
2025-08-29 17:23:39
0
onyangopatrick201
[email protected] :
Madem ndiyo wengi
2025-08-29 08:17:46
2
johnkennedy552
OMOITE ASANTE🙏 :
wakuje garissa hawa kwanza ndio wanakula hongo live live
2025-08-29 08:18:31
0
nailsbynatili254
Natili254 :
kuna wengine apo kamiti road maziwa 🤣🤣🤣kuna mzee apo huwa naona siku moja atashikwa
2025-08-29 08:21:06
0
onset71
ONSET♦️🎲 :
Wanawake nyinyi 😅😅
2025-08-29 08:30:09
3
alphonseee3
Alphayo :
si waendee Duale
2025-08-29 08:21:25
1
ambyy001
ambyyy :
Huyojamaa mweusi ako innocent
2025-08-29 15:44:21
0
user5261075080565
gitahide :
Hawa wajaste we jua wanafaa wawe funzu Kwa wengine. bulandaaa
2025-08-29 08:14:49
0
i_am_danteh_
𝓜.𝔀.𝓪.𝓼🧃 :
Watag wakujie hawawa nairobi Nakuru highway 🛣️
2025-08-29 08:56:20
1
kijana.ya.mathe.w6
Kijana ya mathe wa ngara :
kwani huyu Fedi mwingine boyz amefinywa sehemu nyeti ama 😅😅😅😅we jua hizo macho ni Bulaaandaa ni full light
2025-08-29 16:57:23
1
jmndiritu4
kajonnie :
Ata wewe unajua hii ni mchezo ya town hakuna kitu apo
2025-08-29 08:58:26
2
1984psw
the eagle :
huyu cpl syokau na pc cherono.....kitu ulinifanyia na gari apo makutano....roadblock.....Mungu akusamehe......*kumbe Mungu hujibu maombi*🫂
2025-08-29 14:59:52
0
user7169987973984
vinny luther king🇰🇪 :
wanawake na pesa we ogopa
2025-08-29 12:11:16
1
user9074095103652
Metro :
Sure..zinaonyesha..shibe🤣🤣
2025-08-29 17:15:33
0
saint_m6
saint✅ :
jongo ndo gani guys
2025-08-29 08:58:14
1
user1810073548763
Mr man :
sasa wanataka wa survive aje na salary ya 15k
2025-08-29 12:40:58
1
zack074587411
Zack :
Hawa wanakaa beggers
2025-08-29 17:55:33
0
emojicaterjabisfan2025
EmojiCaterJabisFan2025 :
mbona afande ameshtuka
2025-08-29 17:11:38
0
kali87241
kali :
😁
2025-08-29 17:09:35
0
barbishherms565
barbish herms :
fedi mwenzako akushike walai anaweza jua akuna kirauni ya kike kama mbaya mbaya Wacha iingue
2025-08-29 17:30:39
0
oreso487
Oreso :
m
2025-08-29 15:38:26
0
yusuf28990
Yusuf🕊️ :
uaga baad,,, bulandaa😂
2025-08-29 08:22:16
1
cclaybboy
C Clay B Boy :
bulandaaaah
2025-08-29 09:22:38
0
To see more videos from user @limitless.media.ke, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About