CCM MBELE KWA MBELE OCTOBER MWISHO WA MATUSI NA WIVU SSH MITANO TEEEENAA
2025-08-29 14:25:16
16
msauzi :
had jesh duh tumekwisha hamna kimbilio
2025-08-29 19:42:47
7
Zacknation.com :
kama nakuona mshahara wng unapepea angani😂😂😂😂😂
2025-08-29 09:01:57
18
Lamso masendo :
team chadema wote naombeni mnifollow ndugu yenu jamani plz 🙏🙏
2025-09-03 06:49:23
0
Dr_aing'ong'o :
mbona hata sio ndege ya jeshi
2025-08-29 10:24:23
4
Mr.nengo :
toeni location tu na siku yakuandamana nakama kuna inchi inataka itupe msaada wa kushika mtutuma wambieni watoe tu sisi tupo tutapushi kama wanalimbikazana mali za umma na bado hawataki kuachia madaraka mwaka huuu CCM WAMEJICHANGANYA TUNAWAPENDA ILA KWA HILI TUTATEA KIZAZI CHETU
2025-08-29 08:51:34
11
helmsgal⚓ :
Hilo chopa si wawape na act wazalendo wapigie kampeni😂😂😂
2025-08-31 03:50:00
0
sasha oktoba 2025 ✅ :
SASA KAMA HAKUCHEZEA HELA ZETU ACHEEZEE ZA NANI BOYA NINI WEWE?... 😂😂😂
2025-08-29 22:56:14
4
Bonny mabilika :
HII NCHI🤣🤣🤣
2025-08-29 22:00:23
1
Lukiano Makutakuta :
Jeshi nalo limejiingiza kwenye Siasa Sasa sijui hata kimbilio letu litakuwa wapi jmn,
2025-08-29 14:10:40
4
Salehe Kasimu rogo :
jamani mbona kwenye kikao chao wamesema jesi aijiusishi na siasa zakampen kaz yake nikulinda amani ya inch nakatiba
2025-08-29 13:18:46
2
no gain no pain :
Bado jet hzi tunaziona kila sku
2025-08-29 10:29:20
4
Adden🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 :
hiyo ni makosa
2025-08-29 16:40:53
3
ROCK :
jeshi nalo libadili gwanda tu kama kweli hii ni ndege yao basi wao ni wanasiasa tu wasiwe wanasema sio wa chama cha mapinduzi
2025-08-29 13:50:41
3
Msheba🎩💕 :
mkipewa mtalewea Bora mama tia mafuta utuoneshe mamb
2025-08-29 13:12:07
2
Mussa Hakwa :
Hata mgombea pia ametolewa Jeshini usishangae hayo
2025-08-29 14:43:40
3
️ :
mbn chadema pia walitumia
2025-08-29 10:57:15
4
Myoboki :
anachezea wakati yy ndio mkuu wa majeshi au mnataka apande bodaboda sasa
2025-09-03 15:48:31
0
Bizzo khan ✌️ :
Mama mitano tena
2025-09-02 20:22:27
0
safaribatholomeo :
imajini kodi zangu ndio zinapepea ila daaa
2025-08-29 13:18:06
2
To see more videos from user @noreformnoelection1, please go to the Tikwm
homepage.