@irenemush11:

baby I
baby I
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 29 August 2025 11:50:32 GMT
48925
1380
112
524

Music

Download

Comments

kush.tiger
kush💕tiger🍓 :
mimi kama mama wa mtoto wa kiume nipo tayar mtoto wangu aoe mwanamke wa tabia zangu
2025-08-29 14:51:55
8
user3360180561605
Yuster Peter :
mimi apate tu mwenye tabia zangu ataenjoy
2025-08-31 07:46:50
6
tunu.hijjalove
Tunu Hijja@love :
Nipo tayar leo, kesho hadi akhera in sha allah na mwenye kheir na yeye🙏
2025-08-30 12:40:08
1
winsam089
winsam089 :
Sijabarikiwa mtoto wa kiume ila namuombea mdogo wangu apate mke kama mimi
2025-08-30 06:13:25
9
jonnelle2225
Nurueva Akyoo :
Mimi nipo tayari
2025-08-30 05:11:09
10
muuchampionmancit
Muu Champion man city :
mim nitapenda sana Binti yangu aolewe na mwanaume mwenye tabia kama zanzu
2025-08-30 09:22:02
2
k57_info_fussy_dragon1
K57_Info_fussy_dragon. :
wanaume mbona tupo tayari
2025-08-30 17:21:58
2
tuma_baloy
Tuma_baloy :
niko tayari aje niwafungishe ndoa usiku huu huu
2025-08-30 21:27:15
1
missfetty255
Missfetty :
Hapana kwakwel Mimi ninakamdomo sitak mwanangu apate hivyo
2025-08-31 08:14:26
2
user_paschael_cheyo
PASCHAEL CHEYO :
binti yangu aolewe na bodaboda kazi ipo
2025-10-01 17:41:00
0
macshaka99
dorcus mlinga :
nipo tayari kabisaa
2025-08-30 09:34:51
2
abdallahathumani85
watetesi :
mimi nikipata mwanaume wa tabia kama zangu nampa bint yangu amuowe buree
2025-08-31 12:35:25
1
user5391761295043
zai zia :
ndiyooooo Niko tayali mimi
2025-08-31 08:19:12
1
user1101693588723
SOS k :
Mimi Kam mwanaume nipo tayari
2025-09-13 21:08:16
1
user806131155439
user 76 13576 :
wanawake hawawezi sema hapana kila mwanamke utasema nataka afanane tabia
2025-09-17 15:29:37
1
neemaswai55
neemaswai55 :
nipo tayal hata kesho jomon
2025-09-01 11:16:01
1
issamaulidi26
Issa Maulidi :
apo wanaitikia tu sio uhalisia wq moyoni
2025-08-30 09:02:32
1
ma.is624
ma I's :
yamama ipite ila yababa hapana
2025-08-31 22:09:59
1
realy911
Myself :
mi nipo tyr Mungu anisaidie inamaana mamkwe kamlandisha tabia mwanao ama ni Azam tv burudani kwa wote
2025-08-30 09:09:51
1
marthadelphine
MarTha🦋 :
100%
2025-08-30 06:33:21
1
user3817084371200
user3817084371200 :
kabisa
2025-08-30 06:05:30
1
ulna789
U.N.I :
kwangu mimi ni swa
2025-09-25 10:06:27
0
anethedson763
aneee Edward :
mwanangu atapata raha sana
2025-08-30 15:46:45
0
abubakarnasorali
BIN NASSOR OFFICIALLY ❤ :
mm nipo tayari hata leo tn naomb mng apate km mm nitakuw na aman ya moy coz 1 hurum 2 mapnz 3 heshima ni vitu vya msing kwng
2025-08-31 08:25:24
0
najjbby
Najj .I. 🌟❤️🌍 :
I really wish mtoto wangu a tape mke kama mimi maana ataenjoy sanaaaa
2025-08-31 11:31:24
0
To see more videos from user @irenemush11, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About