@fatumayusufu2: 👩🏾‍🍳

F😊Yusuf
F😊Yusuf
Open In TikTok:
Region: AU
Saturday 30 August 2025 05:05:12 GMT
556290
10595
851
1692

Music

Download

Comments

figastic
BAMBII🌸 :
Watu wa kigoma ndo tunaelewa 😂🥰❤️
2025-08-30 10:44:22
199
use0683333024
halid 🐕 :
kupika unajua shida Ivo vichwa vya dagaa
2025-08-30 20:34:31
8
momgianna0
mom G❤️🥂 :
unaitwa mteke hapo uungue ungue utatoboa had sufuria Kwa kulamba😂😂
2025-09-01 08:30:18
27
mimi45ion_
Medicine :
Viazi vya kufunikwa na dagaa.... Kwa wanaoulizia hili pishi linaitwaje 😂
2025-08-30 18:46:36
6
shmajordanallyog7
@Shma Jordan Ally Og :
Apo umetusha siezi nikala kama huja ziachia kwenye jiko zinyauke mpaka ziungue kiasi
2025-08-30 11:53:22
13
chaupole885
chaupole🥰💋 :
nyiye mbona mnanikimbusha nyumbani bujumbura🥺
2025-08-30 11:39:39
22
that_mother19
Quietsoul ✨ :
Kwanini hikuwaacha waungulie kidogo umeniuzi yan 😂😂
2025-08-31 08:44:13
31
catyy358
catyy35 :
nimekumbuka kwetu
2025-08-30 19:33:28
0
zakiahatungimana
Zakia Hatungimana :
umenikumbusha kwet Burundi🇧🇮🤦
2025-08-30 21:13:55
6
edson_miguelly1
edson_miguelly1 :
Dagaa wa bichi jamani nmekumbuka LUNDA KIGOMA 😂😂😂
2025-08-30 12:29:04
5
nurathy.kapaya
🔏mrs Erick🍁🌹 :
nakumbuka kigoma hiy jmn 😂😂
2025-10-14 10:18:22
1
user17143944740444
Kayozo Samuhutu :
Umezingua kuacha mchuzi 🤣🤣🤣 ndo naona mteke ukiachwa mchuzi🤣🤣🤣
2025-08-30 20:38:41
11
prince_vocan
♠₱₹IÑC€♣VOCÂÑ★ :
kigoma hatulinganishwi na vitu vya hovyo check mboga iyo ina meremeta
2025-08-30 20:16:28
0
nirra255
Nirra🇿🇲🇹🇿🙏🏻 :
mteke na kanyange uwiiiiii😋😋😋
2025-08-30 20:07:24
1
theratedr4
The rated R :
hapo pangekua na spinach ya karanga pembeni 😋
2025-08-31 13:44:47
0
eliadajorwa
Eliada Jorwa :
Jamani sijui nije huko
2025-09-11 14:30:23
0
christinaedward17
Tinasheee❣️ :
duuuh jmm unankumbusha kwetu
2025-08-30 10:42:10
6
favour_hanci
Favour :
mukue mnaacha hizi tabia za kututia uroho jamani😂😂 tabia mbaya kweli ,tunsmeza mate tuu 😂😂😂
2025-09-13 17:31:01
0
dusabeeric
dusabeeric :
umenikosea sana mno
2025-09-10 13:37:22
0
user98065482140051
user98065482140051 :
safi ila mafuta mbona kidogoo
2025-08-31 11:23:30
0
moshiamani28
moshi@mani :
apo kwenye ugali mbili ndio hua unanifarahisha asee😁😁😁😁😁
2025-08-31 18:25:39
0
nyotaramadhani1
uwimana Salha🇧🇮🇨🇩🇦🇺❤️ :
Umezitowa wapi?
2025-08-30 14:28:41
1
user70784746377306
user7078474637730 :
Cool
2025-10-15 16:32:38
0
hadijafundi
hadijafundi :
good
2025-10-15 07:07:25
0
habibakaisela
Habiba Kaisela :
hayo mafuta niyale yakigoma namaanisha yamawese
2025-08-31 10:28:02
0
To see more videos from user @fatumayusufu2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About