@foodloverstz: Wapenzi, kufanya diet au kula healthy sio kuteseka, hebu pika hii halafu uone weekend inavyokua nyepesiii. Kupata bidhaa za @farmerschoice_tanzania tembelea supermarkets yoyote iliyo karibu nawe au maduka makubwa ya mangi. Pan nliyotumia mnaipata kutoka @mamazhuri_kitchenware anatuma popote ulipo kwa uaminifu. #timelessJoy #TasteOfJoyTZ #FarmersChoiceTZ #RealTasteRealJoy
foodlovers.tz
Region: TZ
Saturday 30 August 2025 08:19:06 GMT
Music
Download
Comments
Ms_Tee🦋 :
letusi nazipata wap jmn
2025-09-01 18:24:06
0
JOSEPH OSCAR255 :
sio chips maana hamna viazi
2025-08-30 15:11:30
12
The Cheetah🇹🇿🇹🇿 :
kuweni makini waislamu wenzangu hyo ham ni nyama ya nguruwe
2025-08-31 23:12:34
0
Deus mchobi :
Yaani mwanamke anaejua kupika ..hata kama hana tako na sura ya baba nitamvumilia kiukweli😎
2025-08-31 12:20:39
4
Gstories_byMe🤪 :
foodlover unichangie tu hela ninunue aimubyenye GB kubwa zaid maana nmejaza video zako kama nna wazimu storage iko full😂😂😂
2025-08-30 09:45:16
4
Aneth Roman :
nakupenda Sana dada hello foodlovers Mambo vipi wapenzi tupike pamoja❤❤❤❤❤
2025-08-30 08:43:15
36
Corazon🤎🫧 :
Finally I got the breakfast idea😂
2025-08-30 17:07:56
3
Abdi Hafidhi :
hautumii.mafuta kupika sindio?
2025-09-01 07:00:49
0
😂😂😂 :
naweza weka nyanya
2025-08-30 17:08:12
0
sweet _lorah :
where I get cheese
2025-08-30 20:34:31
0
kimologeorge :
Asante sana nimejifunza kitu kwako
2025-08-30 12:40:19
1
AFRO :
Nitajaribu😊
2025-08-30 08:24:53
3
Roxsaen🤍 :
Uwiiiiiii😂 minyoo inachanganyikiwa
2025-08-30 12:53:40
2
Zulph@♥️🌹 :
kinachonifanya nimfatilie huyu dada ukiacha mapishi ni saut yake 🥰
2025-08-30 14:24:25
4
AveMaria :
direct mezani leo wala siwazi. hakuna kitu kigumu kama kutafuta kitu cha kupika kwa hawa viumbe walofunga shule uwih.
2025-08-30 13:27:03
6
Salome Pole :
nice food
2025-08-30 15:32:02
1
nothing serious here😂😑 :
hii ni save jmn weeee😭😂
2025-08-30 13:19:31
0
Dee :
daah aliokuoa anafaidi
2025-09-01 07:50:22
1
kibabu :
jaman
2025-08-30 09:39:44
1
Gstories_byMe🤪 :
karibu sana
2025-08-30 16:09:45
0
245mio :
🥰🥰🥰
2025-08-30 08:21:32
5
Muu :
@user5478716140624
2025-09-01 15:07:11
1
kibabu :
😃
2025-08-30 09:39:50
1
cute rehanna😊 :
🥰🥰
2025-08-30 08:25:33
1
To see more videos from user @foodloverstz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.