@splinter_ke: Freshers pale gates za shule from next week 😂😂😂#chukauniversitytiktokers #kenyantiktok🇰🇪 #splinterke #splinterkenya #kenyattauniversity

Splinter Kenya🇰🇪
Splinter Kenya🇰🇪
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 30 August 2025 12:43:42 GMT
30775
2386
203
87

Music

Download

Comments

user9854881756876
Addy :
😂😂😂 Splinter hivi ndo ulikua unafanya 😂😂
2025-09-04 11:28:09
2
idahmbae5
Idahmbae :
tungoje kesho tunazipiga very bad kwa hiyo gate ya Chuka😂😂
2025-08-31 09:19:37
14
stellahmwesh
stella :
wacha wacreate memories wewe
2025-09-04 09:13:18
1
ironmind031
S.y.m.o.o.h 💫 :
hata uvae track suit,,tunajua sura za chokoraa (third years)😂😂😂
2025-09-01 19:25:58
3
user425600184822
CAROL ROYAL :
Tulipigia picha hapo immediately after adimission ya my son so what, and I know you once did it till you got experience 🥰.
2025-09-02 14:07:21
5
vee050737
vee :
weww😂 mastingo deadily😂
2025-09-03 20:33:23
0
khuhenzagho.gf32
Beibypolice Official :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Acha nimalize admission nijifikishe apo kwa gate
2025-09-01 08:41:42
6
cheruu099
wada Maya🖤♠️🤗 :
nimalize admission nakuja hivo 😅😂
2025-09-01 10:39:35
1
romah.005
Romah 005 :
kwani huchomwi na jua na hio ranging umevaa...lakini ata picha zenyewe sikupiga juu ya watu kama hawa😂😂😂😂
2025-09-02 14:51:02
1
ruthtinny
Tinny Lopez :
ata sitapiga picha juu ya hio story 🤣🤣🤣
2025-08-31 03:30:25
2
user97327309412596
Rishna Dolly :
am sure ulifanya hivi ukiwa first year 🤣
2025-09-04 14:23:51
0
ruthsyombua817
Ruthbridgitsm :
We mzee😂😂
2025-08-31 09:14:52
2
princess86835
princess😘😘 :
afadhali uyu Kuna mafresher waliona lecturer wakaficha simu 😂😂😂💔💔
2025-09-02 07:02:45
3
user6912090507081
Night dress :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wikiz 3 t unaanza kuinama hata nguvu ya style unatoa wp
2025-09-01 18:14:02
0
baby.teff
Baby teff🦋 :
😂😂😂chuka nayo monday lazima hio gate mnione
2025-08-30 19:07:21
1
dee_jay.1
😍🌹Miss Dee♥️💮 :
😂😂😂😂we mluhya
2025-08-30 20:26:04
2
the_kid_josh
🍒MWEBI🍒 :
hizo mastingo msee ulijifunza wapi 😂💔
2025-08-31 09:50:17
2
j.chomsky_254
J. Chomsky 254🤑 :
hii Kenya since COVID ikam... nobody ako normal 😂😂😂
2025-08-30 17:07:59
2
jons_photography_backup
Jon's Photography back up :
aatasa🔥🔥
2025-08-31 10:16:27
2
itz.shaloo.mems
itz shaloo mems :
uzuri mnatuwarn
2025-08-31 06:33:27
3
cindychemu88
@Cindy_Chemu🇰🇪 :
😂😂😂😂mtajuaje tumefikaa alaaaa!!! hii ni lazima ooo🤣🤣
2025-09-02 18:18:30
0
ann.e563
just Anne😌 :
Atasaaa😭😂
2025-08-31 16:58:04
2
erosoveyani
Surveyor Ian Ole Maelo :
Acha hizoh bro 😂🤣
2025-09-02 03:40:37
2
kimfusion_
FUSION :
kumbe unakuanga mchokozi ivi
2025-09-02 07:49:09
1
shallinealivita
princess shalline💕💕💕💕 :
Edelea kutuaibisha nikama wewe aujawai kuwa fresher😢😢😢😢😢😢😢
2025-09-02 10:19:29
0
To see more videos from user @splinter_ke, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About