@rubabaimani: Nilipata ushauri kutoka kwa daktari wa mifugo pale Mwanza kuhusu virutubisho vya Koudijs. Kwa kuwa namuamini, niliamua kufuata ushauri wake. Hii ni mara yangu ya pili kutumia bidhaa za Koudijs—mara ya kwanza niliitumia nikiwa nafuga kuku chotara. Ukweli ni kwamba matokeo yake yalikuwa bora sana. Kuku walikua haraka na walipofika sokoni, bidhaa zangu zilionekana bora zaidi ukilinganisha na wafugaji wengine, licha ya kutumia muda mfupi. Koudijs imenisaidia kupata faida kubwa na ninaamini itaendelea kunisaidia zaidi.” #Koudijs #LisheBoraYaMifugo #MkulimaMwerevu #UfugajiWaKisasa #rubabamedia