@ms_clemee: Call me “lishe na clemee”😂😂😂 #msclemee #fyp #foryou #babyfood

Clementine✨
Clementine✨
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 30 August 2025 15:59:04 GMT
114094
2330
63
724

Music

Download

Comments

bettymapochitanzaniadsm
BETTY MAPOCHI MCHIKICHI :
Hyo tende syrup umenunua wapi
2025-09-05 09:51:13
3
samsonjohn414
samsonjohn :
viaz lishe unapata wap
2025-08-31 19:56:49
2
user371515521748
zenalee :
kiazi lishe ndo kipi dada nisaidie kwa kiswahili rahisi au English plz
2025-09-02 00:56:26
3
bazirio_rentals
BAZIRIO RENTAL GAMES :
Miez mitano anakula
2025-09-01 04:24:17
3
mamamtotolife_official
DadaGetrude_Official :
mwanangu anakula viazi huwa Nachangany karoti kitunguu huwa hapendi uji anapenda ugali ana miezi 7 asubuhi anapo amka natakunywa maziwa nchana ntampa viazi jioni nampa nachungwa na palachichi usiku tunakula nae ugali ntakuwa nakosea????
2025-09-10 14:43:42
1
jojos_chaz
Jojos :
Jaman anzen kuwalisha watoto kuanzia miezi 6 inakuwa vizur sana kwa mtoto maana mmeng'enyo wa mtoto unakuwa bado.
2025-09-01 10:11:22
1
lifestylewith_lyne
Lyne :
Kesho nitampikia hii
2025-08-31 16:29:00
1
khaimar_cakes
Didy :
Wangu Ana 8months lakini hataki chakula cha kublend🥺
2025-09-02 15:45:44
0
kahoya.....1
Faridah🌸 :
kiazi lishe ni nn in English wadau
2025-09-02 16:29:13
0
officialmama_5
Mrs ❤️😘 :
kinafaa mtoto wa miez 3 na wiki 2
2025-10-27 08:48:10
0
shikxx0
lennah :
ako miezi ngapi
2025-09-17 08:33:25
0
veronicashayo7
Veronica vitenge :
Mafuta hueki
2025-09-01 10:29:16
0
nuruzebedayombise
Nuru Zebedayo mbise :
kina rangi ya chungwa
2025-09-07 21:46:31
0
tinnash77
tinnash :
yam yam😘 napikaga viazi lishe hivyo hivyo kumbe kuna vichanganyio
2025-08-30 18:13:53
0
itsfetty06
teemah🦋♎️ :
Miez mitatu anatumiaa???
2025-09-01 00:34:35
0
babynuru21
baby ᴍᴀᴍᴀ😘🤪💜❤💗💓💝🩷💞🫶 :
maziwa yangombe
2025-09-09 14:17:39
0
user24168601906241
user24168601906241 :
Na mimi mwenye sina blender naeza ifanya aje ndo akule
2025-09-11 12:00:20
0
mamalee936
mamalee936 :
mwanangu hapendi kula nimejitahd sana jmn nimpe nn
2025-09-07 13:04:03
0
its_arshaa7
its_Arshaa7🦋❤️ :
Ngoj kwanza miez minne??
2025-09-01 19:13:46
0
user7595817812303
user7595817812303 :
naomba kujuabfaida alpe kwa mtoto
2025-09-01 11:07:26
0
sultana5943
sultana :
na hayo makucha mtoto SI atakula uchaf kata kucha chakula kinahitaji usafi hususan chakula Cha mtoto usinitukane nimekwambia kwa uzuri TU
2025-09-19 13:36:17
0
reynipher
reynipher :
Jmn miez minne mtoto anakula hivyo wamama emu tuwahurumie hawa watoto 🥺
2025-09-06 10:45:13
0
shahmachuki
Shanmachuki :
𝐤𝐢𝐚𝐳𝐢 𝐥𝐢𝐬𝐡𝐞 𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐧𝐢𝐧𝐢 𝐥𝐮𝐠𝐡𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐢𝐦𝐨𝐦𝐛𝐨
2025-09-04 13:34:40
0
iamraeberry
Rae Berry🧿🪬 :
wow!
2025-09-02 20:57:35
0
iamnanchiii
Nanchii☺️ :
Tunaomba meal plan for a day mama… like mtoto anakula mda gan na gan from morning… na anakula nini na nini… help a mom🙏
2025-08-31 06:20:01
1
To see more videos from user @ms_clemee, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About