@dayana_sweetheart001: Welcome home hubby🥰

Queen D👸
Queen D👸
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 30 August 2025 16:32:04 GMT
189923
7521
405
131

Music

Download

Comments

ramlanaasir
aunt :
unakuta umepamba room hivo alaf toto la mtu linakuambia nimechoka sana wife tufanye siku nyingine how do you feel🤣🤣
2025-08-31 03:41:11
126
reghan872
Reghan :
kuna masela wanaenjoy afu kuna sisi tulio kwa watoto wa israel😂😂🤣
2025-09-02 02:17:22
91
ummunabil13
Zainada 🎆 :
@rifacakesandbites adrifa naomba iwe na mambo mambo kama haya[Tears of joy]
2026-10-18 22:50:55
1
adam.lee704
Adam lee🇹🇿🇯🇵 :
Ndio maana mtume Mohammad (s.aw) alituagiza wanaume tunapokwenda nyumbani tuwape taarifa wake zetu sio mtu unajirudia tu kama ng’ombe hii ndio faida yake
2025-08-31 16:06:57
61
usermissgee.tz
missgee.tz :
Weh nae si uingiee jomn au mpk nikusukumizeee uingiee😂😂😂😂😂
2025-08-31 05:38:45
39
nahya1554
MOLINGA ANNUR :
haya mamba wenzangu nimuda wakurud mtoni🥺
2025-09-02 08:59:45
16
rahmy223
Rahmy✨️❤️ :
Ujue ukiacha 150 huezi fanyiwa ivi…😂
2025-08-31 07:12:34
13
ahmedalrasmail0
ahmedalrasmail0 :
alafu kuna wanawake eti wanasema mwanume kimoja chali hebu msuprise km hiv alafu uone km kimoja kitatokea hata wanaume upenda vitu km hv kutoka kwa wake zetu...huleta hisia na mihemko na upendo wa hali ya juu🤗
2025-08-31 11:12:10
10
suby9317
Suby :
Hakuna kitu kazuri kama mwanaume asafiri alaf na mwanamke abaki muaminifu mpaka mwanaume wake arudi, na mwanaume mwenyewe nae awe mwanaume sasa🧦
2025-08-31 13:52:53
8
lovenatymakeupsalon
lovenatymakeup :
Mtag aliekufanyia decorations my dear pamependeza nimependa
2025-08-31 13:25:55
5
minaahmuslims
minaah Muslim ☪️ :
sasa we kaka si ulie na ww towa chozi japo la uwongoo
2025-08-31 19:57:54
4
juxpose
Am Jacque🦋🦋 :
Jmni nielekeze umewekaje hizo balloons 🎈 huko juu🥰
2025-08-31 06:14:00
4
aishaahmed3979
Mrs A :
leo ni mwendo wa kifarasi tu yan humu tuu😀
2025-08-31 13:34:28
3
moonlighteyes01
lashqoon's princess :
jamaa kadata kwanza kwa sekunde kadhaa
2025-09-02 13:50:22
3
sweetdodo11
sweet dodo :
akikuchiti niite tumchangie maana kupendezesha km hivyo sio mchezo
2025-09-01 06:53:23
3
tinnah6414
tinnah😍😍 :
unakuta umepamba hivo alafu toto la.mtu limetoka kufanyiwa hivo week nzima nyie mapenzi konyo 😅😅
2025-08-31 06:44:02
2
leilajackson44
Leila Jackson4969 :
huy mchaga wangu nikijaribu tu kufanya iv atasem Hy hel ya maua si ungeongeza mchele ndani na unga😂😂😂
2025-09-01 13:41:34
2
o683315479
aziza@12 :
me namtaka mtot wangu mtundu bhana mreten bn
2025-08-30 17:01:51
2
prettyzainatz0
❤️ZEE🦋BABY❤️🫂 :
ay niludish meno yangu sasa 😂😂😂😏
2025-09-20 05:05:45
2
tumainimyenda27
Tumaini Myenda :
😂😂😂😂😂😂siku nikiolewa na nilamfnyia hivi mpenzi wangu mniue😂
2025-10-26 11:50:21
2
tinomalale
tinomalale :
hela ikiwepo unafanya manjonjo yote unakuta kula tu ya shida nanga inapaa utaweka hayo ma surprise na nn
2025-08-31 14:13:51
2
heartpeace25
ANGELA🌹🍎🧸 :
Hayo mapambo umenunua shingap na wap
2025-10-22 16:54:59
2
aishamshabaha
Awash baby :
apo anawaza midinyano jinsi itakavyokua🫣
2025-08-31 03:16:55
2
bby_zee2424
bby_zee2424 :
kama me nyani niende polini nikadande kwenye miti 🤣
2025-08-30 23:14:20
2
official_secy
da secy 🦋 :
naona amefrah mabaka moyo umapasuka
2025-08-30 22:05:09
2
user2567433370723
ummu :
yameshinda wallah nilijitahid ila kungur hafugki😂
2025-09-03 03:36:39
2
dillan442
His 🫧Hidden🫧Noor ❤️✨ :
mimi nataka kujua hzo balloon umewekaje juu
2025-09-01 11:21:32
2
plezentgirl22
plezent girl❤️ :
@Mu.Co.Tz siku unarud unakuta iv naisi utanicheka sana 🤣
2025-09-03 16:20:51
1
baby.mamoon
❤❤shykunee :
🔥🔥🔥🔥😂
2025-09-02 10:33:05
1
mwaijabaruti218
mwaija baruti :
kam hujaja na hela nasambanza vyote
2025-09-04 18:12:57
1
hiyanajuma
hiyanajuma ♍️ :
mwamba haelewi anashangaa😅
2025-09-02 07:24:08
1
arafah4002
💫🦋🤍عرفة🌸arafah🤍🦋💫 :
nimesoma comment afu nika slide video nimerudi nilisahau kulike ❤️
2025-09-04 12:01:10
1
deogratius_06
Deogratius :
jamaa ameshock daah
2025-09-01 19:49:30
1
mamarose4263
Mama Rose :
🥰🥰🥰
2025-09-02 13:54:39
1
halimamofat
halima mofat :
furaha nikitu kidogo saana sio lazima muwe na utajir🥰🥰
2025-09-07 05:54:10
1
lusulewilliam
luu :
natamn San na mm nije nimfanyie ivi mtalajiwa wang jmn where are u? unachelewa mamb mazur shaur Yako we endelea kutumiw emoj na kina neema bonge🤣🙌
2025-09-07 19:43:52
1
maryizegelle
mom Collins :
nimejikuta tu nakenua mapenz ya watu Raha kuliko Aya yangu 🤣🤣🤣
2025-09-15 16:12:01
1
momyjj5
MomyJj :
hv vt tunafananya kulingana na huya my wako alivyo na anavyokufanyia
2025-09-03 08:31:00
1
rully__26
thayna🤎🧸 :
Wanaotaka set nzima y ivo vitu ntumieni text inbox🥰
2025-09-02 18:34:20
1
eshahashimu6
@aisha6 :
mm nikipamba hv si mpaka maputo yatapasuka na asitokee😁
2025-09-02 17:42:59
1
hubyy224
hubyy22 :
anashanga itakua hajawah kufanyiwa nn 😁😁
2025-09-02 18:43:16
1
hairat863
Aira 💕Butterfly 🦋🦋😍 :
Yan huyu kitunguu wangu mahaba ya Tanga nikamix na kondoa lakin wapi sijui jini🤣
2025-09-03 04:28:10
1
swaum016
صوم🧕 :
Mashaallah ♥️
2025-09-02 15:53:54
1
mayasanity
MUUZA MATUNDA WAKISHUA ❤️🥑✨ :
Kesho nijipambie 😂😂
2025-09-02 15:42:56
1
janele711
janele :
amestuck kaka wa watu mambo ya wazungu haya jamn🥰🥰🥰
2025-09-02 15:09:24
1
neemagranivo
neyrose :
Dadeki yan hapo kama mna watt mnaomba walale mapema muanze banjuka tuu
2025-09-03 15:35:49
1
jengatz0
JENGA NASI TZ :
sio shida kufanya iv na vi gift vya mara kwa mara je kuna anae weza kuwa muaminify na kutoa matunzo au niwaache nguruwe pori wa mama kizimkaz 🙌😁
2025-09-02 14:51:29
1
somwana.omary6
Shadia Omary :
dragon muda w kwenda kutema moto hay rudishen meno ndani sasa inatoshaa😂
2025-09-02 14:38:56
1
vonney_1
🦋Vonney Trends22♍️ :
Nisaidie aliekupambiaa plzzz n lvyoo vifaa🙏
2025-09-03 09:51:05
1
mamarose4263
Mama Rose :
😁😁😁
2025-09-02 13:54:47
1
To see more videos from user @dayana_sweetheart001, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About