mmevaa nguo fup af mpo mbel inakuaje mnawapa tabu watumish😁
2025-08-31 12:46:56
9
julieth julieth :
Hongereni kwa muimbaji mzuri.
ushauri kwa kina dada.
ukiona umevaa nguo fupi kama vile unaenda Arusini kaa nyuma.
mbele hapo Kuna Padri haileti picha nzuri. pia mwanakwaya ni kioo cha jamii
2025-08-31 15:21:52
12
Fanuely E. Mpene :
nilikuwa sijaenda zoezi wiki mzima lkn Leo nimeimba so powa
2025-08-31 14:58:54
1
transiana mhile :
nguoo nguo nguo nguo
2025-08-31 15:48:44
1
Dativa James :
wawekeeni mbao ya kuziba hapo mbele wanawakwanza mapadri bhana
2025-08-31 14:38:51
2
Stereo Singasinga :
Huwa mnaimba vizuri sana, nashauri mpunguze styles za kucheza ambazo si za lazima ili kusave energy kwaajili ya uimbaji bora zaidi wa utulivu. Kwa huu wimbo kama kungekuwa na ulazima wa kucheza basi walau mngenesanesa tu, kushoto kulia, calmly.
2025-09-01 12:25:14
1
ANKO ALLY :
catholic forever🥰
2025-09-01 16:45:13
4
gg :
Fanya mpango tengeneza. mko nje. ambia viongizi wa church. just plyboards atleast mjkinge. not costly. macho hayananga pasia. But hyo psalms Iko tamu.
2025-09-01 03:59:37
2
St.Joseph's 2nd Mass Mlolongo. :
nice one
2025-08-31 10:14:03
2
dori :
uongozi una kwama pakubwa hawawezi vaa hivyo alafu mwanakwaya siti ya mbele kabsa big no
2025-08-31 19:18:58
3
matildasimon942 :
hongereni mwaimba vizuri sana
2025-09-02 13:23:00
2
annmbevo3 :
wako smart lakini wawekeeni mbao hapo mbele,,wanawake tembeeni Na leso Kila mahali
2025-09-01 04:49:43
1
eddsteddy :
hiyo kwaya naeza ifikia? iko na wasupu kumi na nne
2025-09-01 04:30:30
2
Honeybadger :
UDSM Kuna kwaya ngapi?😒
2025-08-31 12:46:27
1
me :
tulia😭 na wale wa nguo fupi
2025-08-31 16:19:13
2
Flavie Collections💕 :
Uliwahifadhi wote walioonewa🥰🙏
2025-08-31 11:23:46
3
Tee_electronics & more :
Naombeni hii nota jmn🙏
2025-08-31 18:53:14
1
Alberto 001 :
lovely voices
2025-08-31 15:42:51
1
wider senior 💖 :
correct 💯👍👍
2025-08-31 18:55:23
1
Calvin Shayo :
Ila sio fupi sana af third year mnaongoza
2025-08-31 18:23:18
1
prosper yop la boum :
vizuri sana kwa uimbaji mzuri ila kuna mavazi hayatakiwi kuvaa ukikaa mbele ya watumishi wa mungu(mapadre).
2025-08-31 16:40:21
1
Venas Lujinya :
Utunzi wa nani huu?
2025-09-01 07:11:11
1
Jb :
wow
2025-08-31 15:16:24
1
yosepha mahenge :
Asanteni kwa kuimba. Lakini ushauli wangu tuwe tunaonyanyana na kuelimishana juu ya mavazi ya kivaa kanisani wapendwa kunaumuhimu wa kukaa na vitenge wale wasimamizi mlangoni kusudi ukija na basi lako la Ajabu unafungwa kitenge
2025-09-01 10:15:41
0
Restituta Dina :
🔥🔥🥰
2025-08-31 08:15:27
3
To see more videos from user @staugustinechoirudsm, please go to the Tikwm
homepage.