@glen.odera: Seth Mwabe, kijana wa miaka 26 na aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Meru, amekamatwa Tatu City kwa madai ya kuiba KSh 11.4 milioni kutoka Betika kupitia ulaghai wa kidijitali. Alipatikana na vifaa vya kisasa vya ICT, huku DCI ikimhusisha na visa vingine vya uhalifu wa mtandao. #SethMwabe #UhalifuWaMtandao #DCI #BBCSwahili #Betika
Alisomea course gani mtu anichanue wale wa university??? 😆😆😆 hio course ndio nataka kusomea.I have the will power.
2025-09-01 14:11:19
1
iam_Jethan :
Huyu ni MTanzania Hakuna Kenyan mwenye akili kama huyu
2025-09-01 17:00:06
7
Gracey :
Shida sio huyo kijana,, we dropped out of colleges and universities due to lack of fees and exam payments, it's because our parents don't have jobs, we decide to left the school and come out to hustle yet hupatikani then we end up stealing, summing, hata kasusu pia Acha tuuze ju hii government hakuna job no mercy for gen z's
2025-08-31 12:44:08
68
Joyce cherotich :
whaaaaa
2025-09-02 05:41:16
0
Dennis wangila :
hapa Oscar sudi haelewi ni nini kinaendelea
2025-08-31 12:29:50
111
kun_ tai _✌🏾 :
Deals ni mingi shida ni DCI 💔
2025-08-31 12:08:28
356
Candy crush adventures.KE🇰🇪 :
😂😂😂niko sure hanunuangi credit
2025-09-01 02:04:29
86
️ :
This is how reporters should speak, si ile ujinga ya citizen.
2025-09-01 08:14:13
38
joe :
wa 10/10
2025-08-31 13:57:40
1
Andrew-the-billionaire :
Even the news anchor who use this voice type dont rush take a breath man
2025-08-31 13:47:34
7
sheke Ngugi :
Mdomo inakaa ya Brian chira
2025-09-01 05:53:25
26
William :
hiyo alidrop out Sasa angemaliza😂😂
2025-09-01 15:15:37
0
KAMARA🇰🇪🇺🇸699 :
kama unataka kua dj afro si ungesema😩😁
2025-08-31 18:53:39
11
@sky_angles.001 :
Ongea pole pole
2025-08-31 12:36:13
20
martinez :
hiyo betika kwanza imenipeleka hasara sana ni vyenye sijasomea hiyo course ningerundisha pesa yangu haraka sana😂😂😂
2025-09-01 13:13:53
7
EliasKrop-MLS :
kama sasa ange graduate 😂😂😂😂
2025-08-31 12:50:17
21
𝔠𝔞𝔯𝔯𝔬𝔩𝔩 kiki🦋🥷 :
we nawe si upumuee😅😂
2025-09-01 03:35:12
1
SHAMMAH GRAPHICS :
Glen tulia, sasa tutaskia nini 😂
2025-08-31 13:33:24
13
Mama Tiff :
ongea polepole...weka koma...
2025-08-31 14:22:02
17
𝔹𝕦𝕤𝕙𝕄𝕒𝕟 :
AKASEMA KUBOMOA MULANGO ELF 76🤣😂🤣🤣😂
2025-09-01 15:00:23
2
To see more videos from user @glen.odera, please go to the Tikwm
homepage.