huu usiku dodoma ni dubai pita mchana sasa ni kazuramimba😂😂
2025-08-31 21:54:49
102
Engineer 2026 :
sambusa 2 ...elfu 9000🤣🤣🤣😂😂
2025-08-31 21:01:33
24
Nina🎀 :
Mmmh pakawaida buana 😂ht hawan bei😒
2025-09-01 00:21:44
5
Vaileth :
ntajipeleka mwnyw😁
2025-08-31 16:07:53
4
user26425732269 :
Dah acha kutisha watu
2025-09-01 06:08:46
3
Frida_ :
msiogope bhana mje kwa wingiii
2025-08-31 16:08:37
7
I am born again :
I thank God am at a stage in my life hapo najipeleka 🙏🏾☺️
2025-09-01 15:11:24
9
irene :
Panaitwaje apa
2025-09-01 09:01:58
2
Maryaam Henna 02 :
Best western wana chakul kizuri sana
2025-09-01 13:59:31
9
Sammy B :
alot of cities looks so beautiful at night than day time
2025-10-19 21:14:31
2
STÆNŶ SÜCRË PASTÕR :
dodoma usiku ni Dubai tosha ila mchana uvinza nzuri
2025-09-06 08:25:37
4
JOH MOBILES :
bei za kawaida nendeni tu achaneni na maneno ya watu
2025-10-27 23:47:47
2
Restieᥫ᭡.ִֶָ :
Yani kukaa tu apo kwenye tuvit uto juu ni 50k eti VIP dodoma mna utani sana mjue😂💔
2025-09-03 16:53:37
0
vascomhina@1993 :
aah Pesa sio tatizo ndugu tatizo huyooo wakutumia hizo pesa
2025-09-06 14:50:14
0
Striker_1949 :
Natoa ofa jpili nataka mpeleka mtoto wa mtu hapo… kama uko dom nichek tu .. ukafurahie kidogo
2025-09-01 21:35:28
0
Nickie Man of God :
nakumbuka nilinunua wali na maharage ya jana nilinunua elfu tisini wali ambao ni wa Leo wanauza laki na nusu
2025-09-22 14:39:53
0
Nyamkunga :
Usiwatishe watu mbona pa kawaida tu na gharama zao za kawaida tu
2025-08-31 19:00:51
2
رَمَلِي🫀 :
hapo uwende ujipange soda tuu elfu 4 moja wakati kitaa ni mia7
2025-09-01 09:47:35
0
Mussa Magari :
Npo hapa muda huu,kama upo Dom like nikupe ofa
2025-09-06 08:17:52
2
yusuph cosco :
Nani anataka nimpeleke week hii
2025-09-02 20:36:57
0
Sebastian Mmanda :
Ajitokeze mama Moja nyeupee niipeleke mie🥰🥰
2025-10-17 13:46:31
0
Prosper, JN ✅️ :
Jumapili nitakua hapo mwenyewe, nani anataka tujumuike😂
2025-11-28 09:03:13
1
Abdy Adamu :
Kawaida Sanaa siku moja Siyo mbya kuutishia umaskini piga kiberiti hta m 5 kwa masaa ili utafute kwa hasira zaidi tumia pesa ikuzoee unaijua kesho ww😂😂😂
2025-09-01 18:16:42
0
Comfort Humph :
Kawaida tu bhna msiwatishe vijana😁
2025-09-01 00:04:46
2
To see more videos from user @dodoma_view, please go to the Tikwm
homepage.