@alhaajartvkenya: MAKRUH KUANGALIA SEHEMU ZA SIRI BUREBURE || SHEIKH MUHAMMAD BACHU @muhammad_bachu93

AL HAAJAR TV KENYA
AL HAAJAR TV KENYA
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 31 August 2025 18:01:48 GMT
162334
7545
358
1251

Music

Download

Comments

ummuzunairah
lozzy kitchen 🥗 🥘🍔 :
Wallah shekh hii umeongea kweli kabisa, kuna ndugu yangu 1 aliniambia yeye mumewe wakiw ndan hatakama hana ham nae kwa tendo bas hupenda kumchungulia mkewe tu, tena anawasha hadi tochi ya cm anampekenyuw eti aone vizur sehem za mkewake , wallah nilimuuliza nawew unaridhika kufanyiw hivy anasema sas nitafanyaje na hakubali nikikataa anakasirika, wallah tuna wanaume wajinga sana cc wake wa zama hizi, Allah atustir
2025-09-02 07:38:29
34
bintishekh7
BintiShekh :
100% niliwambia wakanitukana
2025-08-31 19:25:03
38
abdultwalib77
Abdultwalib :
Makruhu maana yake ni karaha au "HAIPENDEZI" katika dini lakini sio kwamba "HAIFAI" tatizo watu wanashindwa kuelewa
2025-09-01 04:59:15
61
mister.srk
Mister Srk :
Sasa Ulimwengu huu ufuate yupi uache yupi Maana mkeo akikuonesha ndio uume unakuja juu
2025-08-31 19:23:36
8
yb.ghostzone
yb Ghostzone :
ushahid, wakisheria,ni muhim,hiv mkeo ndani ya nyumba mko wawili tu,ni makosa,😳 nipe hadith ,ikiwa mtume kasema,ni sawa,
2025-09-01 02:51:24
4
bintisaidi0
BINTI SAIDI :
upo sahihi mume ukimuonyesha muda yote hawezi kua na hamasa na ww ikiwa umemtega kwa rengo sio kutwa nzma upo uchi Bora uvae hata mtandio
2025-09-01 06:01:47
4
mariam28435
marhajjz :
nae nimke wangu shida iko wp..lete aya ama hadithi.maana tukifanya tendo c lazma umuone ama tufunge macho yukifnya tendo hatuwaelewi mashekhe mara hiv
2025-08-31 20:02:59
6
rahmamulk
rahma mulk :
binafsi sipendi kuona mtu ako tuputupu, they say i'm weird but i don't like😏
2025-08-31 22:23:06
10
nunuty.khamis
Nuwayra khamis♡ :
🥺🥺sasa kuhusu kusafishana vile vinyoleo vyachini vip?
2025-08-31 20:40:26
2
breenamulaa
Breena king👑 :
Ilaa ki ukweli mashekhe saiv wanatuvuruga wengine wanasema tusijistiri mbele ya waume zetu wengine tusikae uchi yaani mume wangu nisimuoneshe mapajaa jaman🥺🥺 nikimtumia hii anaweza kulia
2025-09-03 18:00:30
0
user9128416610691
Ibnu Abdalla :
jamani Tuambiwe nini maana ya Makruhu?
2025-09-07 10:12:00
0
dopamine8168
DoPaMiNe :
ustaazz Mimi namnyoaa sehemu za Siri nampiga scrub kwenye mashavu ya uchi na Mivungu ya mapaja,.... hapo Fatwaa inakaaje Mwalimu.
2025-09-01 08:01:48
16
killler406
nouh :
atachagua yeye nimuangalie au nikatafte mtu wakumwangalia😂😂 hawez kunibabaisha kisa vitu vidogo ivyo
2025-09-01 06:45:17
3
user8026112582699
Aqyf :
jamn tusikilizeni kwanza vizuri tukishaelewa ndio tukoment 🙏🙏
2025-09-01 05:00:24
3
tuma.baby37
tuma baby❤❤ :
makuruhu kw kiswahili fasah nd vp maan yke
2025-09-02 04:02:43
0
amann.habbib
amann habbib :
Mtume(saw) alikuwa akioga na Aisha(r.a) ...je walikuwa wanaoga kama vipofu?
2025-09-01 03:36:38
4
shadary546
Shadary :
😂😂😂 Ww tuache na wake zetu , Unafanya dini ionekane ngumu 🤣🤣
2025-09-17 18:17:35
1
abuu.junyd
@ abuu junyd :
eeeh sheikh bachu nakubali bana simba wa masufi Allh akulinde
2025-08-31 18:26:15
6
mr.roca123
Harmony :
asilimia 90 ya wanaokomment hawajaelewa😅😅
2025-09-01 13:09:42
2
officialy_rahmah
user85911025124786 :
ni makruhu tu hujaambiw dhambi na wee😂
2025-09-02 09:40:14
4
user210104167
Ibrahim :
kwn burebure ndio vp ?
2025-09-01 12:22:54
1
haji.mohamed10
Haji Mohamed :
sahihi kabisaa,naam shekh ALLAH AKUJALIE KWA ELIMU YAKO INATUNUFAISHA
2025-09-01 08:32:48
2
nuriatnuru2
nuriatnuru2 :
shekhe yuko sahihi
2025-09-02 05:13:01
2
userwakwetu
wakwetu :
Hapo sio sahihi,mkewako ndio tv yako
2025-09-01 04:02:19
4
To see more videos from user @alhaajartvkenya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About