@jonstarofficial: Shivo kama shivo 🤣 #Tiktok #Trending

Delvis Kasaloo
Delvis Kasaloo
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 01 September 2025 06:26:27 GMT
218497
8779
1737
5145

Music

Download

Comments

zola_jr12
swizz zola :
dah kitambo san Journey to the West sisi tunaita Shivooo😂😂😂
2025-09-01 09:01:46
262
kainaat833
Dee🌬️💨 :
nihame niende wap ss me nd kwnza nina miaka38
2025-09-01 18:46:12
48
jackline.shindano
Mama Divine :
jumapili muda wa kanisani ndo unatamani ulie
2025-09-01 14:13:09
221
sir0405
sir. :
hii ni shivoo, mnao sema journey to the west tupisheni
2025-09-01 11:54:54
133
reymar_gmand7
_reymar🐾 :
Unakaa unaangalia alafu baadae unaiga 🤣🤣shivoooo shivoo 😂😂😂mmesahau maudodo ya TBC
2025-09-01 15:43:40
55
munira.og
Munira :
Inategemea wakati unaingalia ulikuwa na umri gani wengine walikua na miaka 6 wengine 15 🤭 wote tunaikumbuka vizuri tu
2025-09-01 08:16:23
46
zainabhassan390
Zainab Hassan :
Watoto wa 2000 mtupisheeeee😂😂😂
2025-09-01 08:18:02
16
augustinomariano
augustino Mariano :
This sound tu imeanza hadi nimejisikia uchungu aisee zimenijia kumbukumbu nyingiii sana 🥺🥺🥺 gone are the beautiful days 🙌🏽
2025-09-01 16:39:44
24
ziiiiiiiii53
ziiiiiiiii53 :
Siwashauri muhame jaman. Mimi tangu nimeanza kujitegemea sijawah kunywa maziwa😂
2025-09-01 17:58:01
21
lunique0808
Lunique0808 :
kuna siku mkubwa alitishia "chagua chai au Shivo" nikasema mimi chai hapana😂😂😂😂bora nikose chai kuliko shivo🙌🏾🙌🏾
2025-09-01 13:18:51
16
zaitunihamad
Zaituni Hamad :
hivi kwann tuliipa jina la shivoo😅
2025-09-03 00:11:58
10
teddyshauritanga3
tms :
daaah shivo nilikua sipendi kipindi kinipite🤣🤣🤣🤣natamani warudishe tena🤣🤣🤣
2025-09-01 08:07:00
24
kelvin.george950
Kelvin George :
Dah long sana mwanangu huyo jamaa hata uwe jini gani ukikutana nae utoboi
2025-09-01 08:30:31
7
rogermondric882
Roger mondric 💚 :
Shivo na huyo mshikaji wake puaa ya nguruwe walikuwa wanatupanga sana 😂
2025-09-02 16:58:48
7
mnyakyusamwitu8
Nono :
Tokeni nyie me kitovu hakijapona
2025-09-01 13:58:28
10
shaby_duu
shabyduu :
Daah nakumbuka nling'atwa na nyuki puani basi pua likavimba watoto wenzang mtaan wakawa wananiita "Bajiee" uyo kitimoto anaetembea na shivoo😂😂😂😂😁 imenkumbusha mbal mnooo
2025-09-01 17:19:28
13
antonio_vince9
antonio_ vince :
hapo n kuchagua kwenda mafundisho au kanisani uangalie shivo😏
2025-09-01 17:53:45
5
..casmirtz
CasmirTz :
mimi nilitazama na sihami labda wahame wazazi 😁 na hizo ni shobo dundo
2025-09-01 15:34:13
5
allyahmedkibila
Young Montana :
Kwetu tulikua watto watano leo nina watoto watatu 😆😆
2025-09-01 08:33:05
11
drazzi3
Kriczzy_ :
nilikuwa nawahi kutoka church ilii niitazame😂😂. Bad enough bado niko kwetu 😭
2025-09-01 08:38:56
11
moma_t2020
Ms.k :
Dah kitambo jmn Shivo😅
2025-09-01 13:31:44
7
leesilanda
lee silanda :
journey to the west
2025-09-01 09:53:09
5
lucypeter23
L&C92 :
Daah way back 😂😂😂😂😂
2026-05-10 19:20:52
1
agneslucas325
Ag :
tulikuwa tunachelewa kwenda kanisani jaman 😂😂
2026-05-20 20:38:52
1
mohamedakidan
Mohamed Akidan :
Soundtrack la kibabe sana 🫡
2026-04-16 05:07:06
1
To see more videos from user @jonstarofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About