@doreenmushy0: #onthisday

Dee💝
Dee💝
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 01 September 2025 07:15:50 GMT
82433
2153
185
485

Music

Download

Comments

faridajackson113
farry :
wakasema nauli ya mbinguni elf76😅 sasa unabisha ulikuwepoo
2025-10-02 05:17:01
3
marcomtogwa
marcomtogwa :
uende unapajua ukipotea umpe kazi yesu kukutafuta tena
2025-10-01 18:19:41
15
moshine190
WISE PIUS :
Chakushangaza zaidi ni atakuja kama mwizi
2025-10-01 13:59:14
17
jesuse_christ24
jesus christ :
na ntakuja kimya kimya tarumbeta iliibiwa so get ready😌
2025-10-01 05:27:18
39
user7735251367954
sm8@ :
Wakasema Kubomoa murango ni elf 76
2025-10-01 13:37:02
3
luciatesha608
ubaya ubwela :
🤣🤣ety unaenda unapajua kweli kbc asije akapotea mtu
2025-09-30 14:58:40
33
user8813325298476
@seonyoung :
😂😂😂 unaenda unapajua
2025-09-30 09:25:50
7
angelfrancis736
Angel Francis :
sio lazima kufa mbona kunawatakao twaliwa au sio na akija kama mwizi atawakuta watu na hatujui siku wala saa kwahi tuliache kama lilivo😭😭
2025-10-02 09:02:09
2
user97694729685473
mwanjala :
me mbinguni kwenu spataki
2025-10-01 17:23:34
0
user5778818104617
Mase boy......⚠️ :
ila Nchi yangu Tanzania 🤣🤣
2025-10-02 09:12:04
0
user50337614819304
fetty :
wana TikTok bwana yesu asifiwe🙏
2025-09-30 17:50:00
19
pretty.hyra4
pretty hyra😍😘 :
🤣🤣🤣 akijaa nimewah back ndo nitakaa jamani
2025-09-30 09:01:28
3
jay199838
jay19 :
nae atakuw mgumu kusikia yaan kipigo chote kile af tena anarudi kama mwizi, sjui itakuwaje
2025-10-01 20:23:29
2
janethkatabaro
Janeth Katabaro :
apo ndo nachokaga
2025-10-01 19:48:54
0
jenny945
jenny :
jmn mbona kutendeshana dhambi lkn 🤣🤣🤣🤣🤣 et watakula nauli 🙌🤣🤣🤣
2025-09-30 14:18:57
3
gentleman72539
Gentleman :
kwaiyo wanaokufa wanaenda wapi kwan jmn 😂 mbon mnachuchanganya 😂😂😂😂
2025-09-01 08:00:35
8
msafiriminango
msafiri :
niache nachanganyikiwa mjukuuwangu😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-10-01 12:34:14
2
roniii5858
ronii :
shd ili uende lazima ufe 😅 au skia iv Hakuna njia nyingine ya kwenda Kwa yesu bila kufa)☺
2025-09-30 10:18:56
5
user50614493181540
OfficialUdricki :
Watumishi Nina swali naomba kuuliza Hiv yesu alisema anaenda kutuandalia makao atarudi kutuchukua SASA mbona anaondka mmoja mmoja? Naomba kuwakilisha
2025-10-02 08:44:31
0
jaromemsauge
Jarome :
kwa kipigo kile haji ng'ooo😂
2025-10-02 09:09:02
0
brayrastarr47
brayrastarr :
Aje tu sisi tunaokaa kimara tumeyachoka maisha ya mwendokasi
2025-10-01 09:46:41
0
finegrl66
ley💞💖 :
Ukipotea je umpe kaz yesu ya mwanampotevu😂
2025-10-02 09:03:07
0
mandomineymer0
Mandomi. 🇹🇿🇱🇷 :
😅😅 et utaenda unapajua?
2025-10-02 07:59:30
0
rashidhirdah
hilda 🥰🥰 :
yesu mwenyewe anashangaa ivi ndo dunia niliyo umba maana ata kuja tu anaogopa kama mwanzo tu alipigwa vile sasa saivi watu tumechanganyikiwa
2025-09-25 20:10:39
5
To see more videos from user @doreenmushy0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About