GOOD HEART ALWAYS GOD PAYS MUCH.....moyo wako kwa wateja wako ndio uliokusaida kujua yote....pole sana yataisha
2025-09-01 10:50:41
24
simbakitara :
uyo katumwa na mtandao wa wauni .
2025-09-01 11:01:37
23
jemmo james :
kwanini isimuweke ndani bro
2025-09-01 09:57:08
10
The Paul :
Sasa Tukusaidiaje? Toa Mwongozo
2025-09-01 16:55:22
14
Maya :
My experience 🥹🥹 kuna watu wanakuja kwenye maisha yetu kujifanya wema sana ili kutuharibia.
2025-09-01 16:43:16
10
Nely Tiba :
Polee sana. Piga chini fanya na wengine na sahau kabisa
2025-09-02 14:07:26
1
nataliah :
Twende mbele turudi nyuma mm nimekupenda bure u are so hndsome and you have the same soul like me
2025-09-01 21:52:33
6
havenvibespot :
pole sana Rakim usiamini watu tena. hii chaangamoto tuliza hasira ili upate hekima ya kuitatua. Binadamu wabaya sana
2025-09-02 05:54:16
8
Frisâte atibu :
Naona ivi sasa una mkumbuka ule kaka uliye fukuza
2025-09-01 10:12:15
11
Aaliyah smart :
Ulilogwa siyo bure, pole Ndo changamoto za biashara
2025-09-01 12:29:59
23
MOE FIRE TZ :
Najua jinsi gani inaumiza brother pole sana pia you You have to be careful with people especially in business 🙏
2025-09-02 02:33:24
6
James Christian K :
don't trust too quickly,
2025-09-01 22:43:23
7
nord :
Pole sana mwaisa
2025-09-01 21:14:57
6
PROPHET IBRAHIM SOKOINE :
ustumie muda wako kufikilia ujinga alio kufanyia nyamaza kimya ,tayali umejifunza ,usipoteze mwelekeo kwa kupanik amekutumia people la kukuvuluga ili achukue nyota anza maombi alaka sana Mungu atakutetea
2025-09-01 18:01:11
9
rosaphilipo :
yaani mtu humjui unampa tu ofisi gafla kisa amekuambia anauzoefu??????? unamuaminije kwa mfano?????? kama ulirogwa Sawa
2025-09-02 07:22:46
6
Mrkorant :
kaka pole sana ila pia unauzembe mkubwa sana jitahidi kujitathmini
2025-09-01 12:05:13
39
kidrocker :
bro kwa izo red flag mapema ulikua hushtuki...kwan we mgeni na binadamu
2025-09-01 23:25:03
14
Teacher wa mateacher :
very sorry brother we learn through our mistake be careful
2025-09-01 19:51:28
19
khamis Ally :
pole sna broo bado huja feli kaza moyo maisha ya endelee