@yadah_braids: Hivi ndivyo unavyoweza kuweka dawa ya Box kwenye nywele zako hata ukiwa nyumbani hii ni @Dark and Lovely Africa kwa uhakika zaidi unaweza ukaja saloon kwetu Tupo Mwenge Opp British School 0842981958 #fyppppppppppppppppppppppp #yadahbraids #foryoupage #viraltiktok #fyp

yadah_braids
yadah_braids
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 01 September 2025 16:08:55 GMT
111763
1453
67
325

Music

Download

Comments

binti_wa_kiyao
Binti_Wa_Kiyao :
hiyo dawa siku hizi inauma yaan siyo baridi kama zamani
2025-09-01 22:14:27
13
esther_fashion16
Esther_Fashion16 :
YAN NILIWEKWa dawa vby jaman kariakoo mega sina hamu nywele hazikushika dawa zinanyonyoka tu
2025-09-02 18:55:04
2
itss_slie
Mamazoh❤️ :
You didn’t use the number 3 bottle, why ?
2026-05-17 05:43:19
1
jojonipher1
Hanifa :
Mm nishaweka dawa zote lakini nywele hazikolei 😂
2025-10-05 01:44:10
0
sharbanohamid
Sharbano Hamid :
mkate ncha dead hair nyingi
2025-09-02 20:04:51
2
user2478195005533
minerrashy :
Mm nimetumia na inauma
2025-10-11 07:37:39
0
purity03_
ℕ𝕠𝕖𝕝𝕒💕 :
unapatikana wap na bei gan
2025-09-02 16:21:20
1
tiner.cosmetics
Tiner cosmetics🧴🤗 :
bei yako nikika ka dawa yangu na nisipokuja na daw pia
2025-11-09 22:21:31
0
jr175585
Jr🦋 :
Nywele ngumu
2025-10-26 03:35:36
0
maryam.abdulla2
Maryam Abdulla :
nywele hazijashika dawaa hasa
2025-09-03 11:12:25
1
zainabu.silaji
Zainabu Silaji :
Inauzwa shingp
2025-09-26 16:42:54
0
ms_darcies
D.🤍.r.i.s🦋 :
Unapaka dawa bei gani,dawa ikiwa kwangu?
2025-09-01 17:37:02
2
callmebimbo1
IT'S BIMBO🌸🐰 :
mtu anambie bei
2025-09-04 09:32:04
0
nurry067
Nuryat🥰🥰🥰 :
Dawa na uwekaji bei gnnn
2025-11-06 14:49:41
0
redhajimsomali
madam juju😍 :
😭iliniunguzaaa uwiiiii
2025-09-03 06:24:38
0
adorablequeen15
official_adorable :
steaming gani nzuri ya kujaza nywele kwenye relaxing hair?
2025-10-18 05:59:14
0
tukae.mwingi
Tukae Mwingi :
iyo dawa kuna regular yake
2025-10-01 15:05:46
0
pudencial13
pudencial13 :
Bei gan?
2026-04-13 08:38:05
0
bravegirl359
@Aye—sha🥀🌹 (عائشة)🦩 :
Mbona mm nikiweka dawa zinakatika
2025-09-27 08:29:02
0
niwaely8
Niwaely_🤎 :
🥰🥰🥰
2025-10-20 01:06:41
1
haniyey.qurux
Haniyey qurux :
😂
2026-01-08 14:58:44
0
pinkybimu8
pinkybimu :
😂
2025-11-29 15:21:40
0
min61620
min :
🥰
2025-11-08 13:40:32
0
msnaa.h
Naa.h 🍀 :
💔💔💔
2025-12-11 08:11:55
0
To see more videos from user @yadah_braids, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About