@cocofm: "SIRI YA KUPENDWA NA MWANAMUME" - @marshbaby #ladhayapwani #UNYAGONI #COCOFM

COCO FM
COCO FM
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 01 September 2025 20:14:37 GMT
17899
796
26
70

Music

Download

Comments

yasminyusuf18
Prettyyasmin :
tushachoka wasaliti hawa ebu tupumzisheni😂
2025-09-01 21:12:29
7
user473916926731
my ferty :
jamn tufundishen jinsi ya kwend mbingun ivi unawez ukamtii mwanaum bila kupenda ama mnatuchanganya
2025-09-02 04:03:45
0
anna51778
nyamwiza benny 50. :
tupe siri ya kupata pesa haaaa.
2025-09-02 03:13:34
1
honniebee09
Tifah Bee :
mwanamke pia anastahiki heshima respect goes two ways madam he respects me i respect him
2025-09-01 20:55:32
5
hey2you58
" :
Usipende kweliii😂😂ikizidii ajiogezee mke wa pili😂😂😂😂
2025-09-02 03:27:58
0
user79910178861685
magreth :
cjawahi kumpenda mtoto wa mtu wala ctaki kujipa stress
2025-09-01 21:50:24
1
lovnakyoo
lovie❤@059 :
huko kuongea kama mlenda ndo kunanichosha
2025-09-01 23:52:41
1
bebyface1
bebyface :
Kabisa
2025-09-02 03:10:41
0
tufah1111
@Haliiim 21 :
kama sita mpenda nita penda nani sasa? not everything in social media is true.
2025-09-01 20:49:57
1
zanzi_mtika_tours
Zanz_Mtika_Tours :
Hakika
2025-09-02 00:37:01
0
user6377637095987
@Mary :
really kbs kama hayajakukuta hawezi elewa
2025-09-01 20:49:02
1
deborahamisiamisi
Deborah amisi Amisi :
niuongo huo
2025-09-01 21:50:34
0
tantz3105
Hassan Salabati :
ungetuuliza sisi wanaume
2025-09-01 20:57:31
0
z_almandhry
Z_AlMandhry :
tupe faida
2025-09-02 00:15:05
0
user3776943792586
user3776943792586 :
wallah dada nimechanganyikiwa kweli kipenz changu
2025-09-01 20:47:21
0
user39156835006596
user39156835006596 :
mm nahis umpende na umuheshimu kwa sababu usipo mpenda pia hutakiwa na hiyo heshima pia kwa sababu hujamuona anaumuhimu kwako
2025-09-01 21:58:17
2
musa.ali762
musa ali :
😂😂😂
2025-09-01 22:45:02
0
neemawakilifi
NEEMA WA KILIFI 🤌 :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2025-09-01 22:18:50
0
ivonne5928
esthiana le-snaipeur :
🥰
2025-09-01 20:52:05
0
shaizan.jaja.shai
Shaizan Jaja shaizan :
🥰🥰🥰
2025-09-01 20:47:04
0
To see more videos from user @cocofm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About