nasikitika kutoa ushaur huu ila nitatoa tu coz ndo ukwer wenyewe kinachotuumiza nifikra zetu (mind set) unatakiwa tuanze kuamin kuwa tunasoma ili kujiajir na ikitokea baati umepata ajira bas iweshangwe ila tuanze kuaminisha watoto wetu Ivyo
2025-09-02 12:17:34
5
lily 🌹💓🌹 :
wanasema kichaa Akina kwa mwenzio anachekesha huyu Kaka kiatu chake kigumu
2025-09-04 18:51:31
0
Rajabu :
bangi haimuachi mtu salama
2025-09-03 05:55:03
3
Electrical Engeneering :
never give up men, the time will come when we will be respected bro, don't cry
2025-09-02 12:03:04
12
@official juzzo :
Masikini ya mungu Kama kasom pekeake vile kumbe watu wengi tu mtaani huku
2025-09-03 06:39:35
2
JOMOS :
Aaa aa!! c mmeelewana mnatik sa Machoz ya nn tna? 😂😂 , Mama mitano tena mpaka hiz ngh'ombe ziamke
2025-09-02 18:34:27
4
elisha :
jamaa anaujumbe kabisa 🤛🤝🙏♥️🔥
2025-09-02 18:44:12
5
mahnoor👄 :
sad truth 😭
2025-09-04 16:20:28
0
zahiri :
shida tunapoteza muda kusoma, kama tujiajili bhas mtu akijua kusoma tu aendelee na mambo yake
2025-09-04 11:56:38
1
Anthony Kapingu :
KAMA UNAAMINI VYETI PICHA ZA UKUTANI gonga like👊👊
2025-09-04 20:13:50
1
Msodoki iphone🛍 :
jamaa kqongea kwahisia asee dah kweli kusoma ni kupanua akilitu😢😢
2025-09-02 16:17:43
2
MY DREAM RIDE 🐇🐇 :
it hurts a lot big brother
2025-09-03 17:28:54
1
Mserembetee :
Mwenyezi mungu akufungulie milango ya heri bro.Ukiona mwanaume analia ujue ameumia.
2025-09-04 04:23:38
1
khatwaby rashidy :
daah kweli inauma sana 😭😭
2025-09-03 15:02:28
1
Mrisho Nassoro :
kapigaje hapo
2025-09-02 17:59:08
2
electrical tz :
asee ukiona adi mwanaume katoa chozi lake ujue anapata mauchule ni balaa mumgu atusaidie tu sisi wanaume da
2025-09-02 11:05:12
2
de sweet :
umenitonesha kidonda nilishasahau ayo mambo😥😥
2025-09-03 18:16:51
1
dave's👣 :
jamaa anamachule kinoma san
2025-09-02 17:59:04
2
mwala :
kweli haapo anaongea ukweli mtupuu
2025-09-02 17:59:16
1
Colman Tarimo :
daah na mimi nimesoma chuwo icho icho mbona nimshkuru mungu mi na kazi👏👏
2025-09-02 17:22:45
1
hillary mmari :
am sad
2025-09-02 19:19:12
1
40cents :
dah
2025-09-04 14:31:44
0
@subsuby0 :
huy sithani kam atasomesha watoto wake
2025-09-05 04:14:58
0
Matan Kuneza, :
kwani munasomea serikali elimu nikuondoa ujinga siyo usome kwa kutegemea serikali kumbuka selikali haiwezu kuajili watu wote elewa usimalizechuo kukaa
2025-09-04 11:06:49
0
To see more videos from user @babiimorgan1, please go to the Tikwm
homepage.