Nilipoanza kumuombea tu nimempoteza Ila najua Mungu Ana kusudi kubwa sana na Hili 🙌 Sitoacha kukaa kweny maombi daima
2025-09-03 12:50:07
145
Geologist Mbelia🫶 :
Kama unahitaji group la Maombi binti karibu,
2025-10-01 16:42:15
58
Delvix lnyanya :
prayerss🥰🥰🥰🥰I wish Mungu aniletee mwenye tutakua tunaomba naye🙏
2025-09-03 18:37:27
55
m@riamAmos :
mungu nilinde mimi na huyu anaye soma comment hii🙏🙏
2025-09-13 15:26:57
57
Furaha Andrew :
Nimelijua mapema hili aisee,
kwa ajili ya familia yangu naombaaa tena naomba haswaaa nina amini Mungu wetu sio kiziwi
2025-09-03 13:31:45
17
cash money :
🙏🙏🙏🙏, Mungu wa mbinguni naomba unisaidie niwe mwanamke wa maombi
2025-09-03 05:28:05
112
Agnes g Simon :
mi ninaomba lakin naambiwa maombi yng ni unafki
2025-09-08 11:35:41
5
BintiWaYesu :
Aje Baba kayai mmoja niwe namwombea tatu kavu kila mwezi😅😅
2025-09-03 17:48:15
8
Never judge :
maombi ndo silaha ya kipekee
2025-10-08 14:21:39
7
Winieclassic :
namtafuta wa imani mwenzangu tuwe tunaamshana usiku tunafanya maombi kwa ajili ya ndoa zetu zijazo🥰
2025-09-04 12:20:23
10
Jen Juma :
mm siwez ten kumuombea mume wangu weeee nimeombea kufanikiwa kaniacha sitak kuludia ten huo ujinga najiombea mwenyew
2025-09-04 05:57:36
1
annet @kiboen :
pray pray pray and pray. until God answer your pray.
2025-09-03 19:33:07
6
finest ♡ :
factssssss ukiomba una glow
2025-09-05 07:44:35
7
Glory Pharess :
🙏🙏🙏Mungu nakuomba nisadie niwe mke wa maombi kwenye ndoa yangu 🥰🥰
2025-09-04 07:56:44
16
Vickie Joseph♥️ :
Eeh Mungu Naomba Unisaidie niwe Mwanamke Muimbaji😭😭
2025-09-03 11:34:50
20
G. Nick :
Maombi ndiyo ufunguo wa kila kitu tenga mda wa Maombi
2025-09-03 12:58:27
12
Alliance :
napenda maombi,sababu ni nguvu yangu ni ushindi wa maombi
2025-09-04 21:16:32
7
jescajesca❤️❤️❤️ :
🙏🙏 mungu naomba unifanye niwe mwanamke wa maombi
2025-09-03 10:05:08
5
Telecom Eng. :
Ni kweli usemavyo wengine tunapataga wanafiki wanajifanya wanamjua Mungu kumbe tax bubu😂
2025-09-04 15:14:27
0
God’daughter ✌️🤞🙏✔️ :
Mwalimu munzuri saaana najifunza sana kutoka kwako baba ubarikiwe sana
2026-03-10 11:02:51
1
Joseph Godlisten 🤲✝️🛐 :
:::Je, Yesu ni Mungu? Je, Yesu alitoa madai ya kuwa yeye ni Mungu?
Yesu kristo. Matendo 20:28 inasema ya kwamba Mungu alilinunua kanisa kwa damu yake mwenyewe. Kwa hivyo Yesu ni Mungu! Tomaso mwanafunzi wa Yesu alisema ..
2025-09-05 12:24:33
3
JIVOYELI PROSPERITY :
I love Mbingu duniani
2025-11-27 19:51:45
2
Brand :
yesu nipe kukuwaza wewe peke yako
2025-10-25 09:14:28
2
𝙌ueen 𝙀𝙡𝙞𝙯𝙖𝙗e𝙩𝙝 :
🤣🤣🤣🤣huyu pastor niwawap jamani kaskazini au😁😁😁🙄🙄
2025-10-22 06:05:18
2
Grace 👑 :
mungu nisaidie niwe mwanamke unyenyekevu niodolee hasira na kibuli nivitu abavo ninavichukia sana
2025-09-05 10:17:25
4
To see more videos from user @mwlonesmoprosperity, please go to the Tikwm
homepage.