imshedrackloy :
jamani, mi niko tofauta kidogo na comment baadhi,, in short, huyu kijana nilivyotizama full interview, binafsi nimeona anahitaji usaidizi, kajikatia tamaa, hatujui background yake, one's nilikua na rafiki kama huyu alikukuwa mtu poa sana, sema sometimes maisha yanachanganya sana na kupelekea watu kuwa hivi,, yeye yupo tayari hadi kufa, its so sad, bora huyu katuambia, ni wangapi wenye ujasiri kama yeye huko mitaana!? , afu yeye kashawishiwa inavyoonekana ,, anahitaji msaada,,
2025-09-03 20:20:26