@iroc.tv: Unakubaliana na @ahmedabdallah05 kuwa hakuna urafiki wa Mwanaume na mwanamke? 🤩 TUNE in Thursday at 11:30am on iRoc Networks youtube 📺 @ahmedabdallah05 , @almah_bronxi & @charles_matukio Cc @iroc.tv @nmbtanzania Sponsored by @johnniewalkerafrica 📍 @irental_s #BeMore #NmbKaribuYako #Thejunction #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪

iRoc Network
iRoc Network
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 03 September 2025 16:44:26 GMT
607580
30966
986
5154

Music

Download

Comments

sandysasa25
Sandy :
urafiki upo inategemea na mindset zenu
2025-09-04 08:29:51
276
irene.juma513
Irene juma :
me nilikua nae ila mwishoe alinikula 😂😂😂
2025-09-04 04:32:59
301
mamu.unique
Mamu ❤️ :
Inawezekana bhna Mbona mimi ninane jmnii 😩
2025-09-04 04:59:55
71
momytin18
pretty petty :
sisi wanawake tunawezaga tu fresh shida inakuja kwa wanaume yaani wewe unamchukulia rafiki yeye mwenzio mawazo yake ni zaidi ya rafiki
2025-09-03 19:58:29
75
jersey_legit7
jersey__legit :
Hakuna urafiki wa fimbo na n’gombe
2025-09-03 17:04:04
99
vee_hb6
VEE 🦋 :
Mimi ninae from primary😢🤣 au sisi sio watu jamani
2025-09-03 20:04:42
100
josline214
Josline :
aisee hakuna rafiki mzur kama mwanaume Ninao watatu jamn I never feel weak wananisaidia mnoooo kuna mmja tulikutana siku moja t! Ila hata jana amenikopesha Tsh 2m . Ananiamin nawapenda sana yunahwshimiana mnooo kuna siku nitatoa ushuhuda Mungu aendelee kuwaweka jamn
2025-09-04 02:02:29
15
fifiycambo
fifiycambo :
ninae tunachambana km mtu na shoga yake😂😂😂na ni mmbea hawez hata kuwa bwana angu😂😂😂😂😂..mtu mmbea vile asione kitu kaba hana😂😂😂…
2025-09-04 05:54:43
43
makaveli_tzn
Makaveli :
Hakuna urafiki wa binadamu na kuku ipo siku utamla tu✍🏾
2025-09-03 19:21:01
26
kishanreally
kishanbaby♒️ :
Mm ninae rafiki yang wa kiume nampenda sana
2025-09-03 20:59:02
27
ceci_cosmetics
Cecilia :
mm nna rafk tuna miaka sita na ni mwanaume
2025-09-03 18:56:02
46
lucychandgy
Lucychangdy0001 :
upo bhna kua na rafk mfupi wa kiume inawezekana kikubwa mipaka
2025-09-04 09:40:07
7
coccuh_collection
Coccuh_collection :
upo bwana aache umalaya
2025-09-04 11:18:25
13
jay_meddy
jumaa mkondoa🙏 :
mnapo kuwa na urafiki wa muda mrefu zaidi ya miaka kadhaa kuna mmoja wapo anaweza akawa na hidden feelings..
2025-09-04 04:39:20
25
.rajabu
@RAJAB :
Wanaume ndo tunajua ubongo w boys una operate vip? mbele ya mschana! urafik hakuna! na ikitokea ujue kuna mmoja kati yao kichwan hamnazo! ana shida kichwan 😁😁😁
2025-09-03 22:32:37
5
aiyati12
Najima✨✨ :
umaraya tu mbona tunao Adi wanakua kama ndugu 🥰🥰🥰
2025-09-04 04:49:40
6
ahmedrocky__
Ahmed Rocky :
kuwa na urafiki na mwanamke ni sawa na kuwa na urafiki na kuku ipo siku utamla tu
2025-09-03 17:11:59
8
caketoolsbongo
Ebby Cake Tools & Supplies :
Ukiona kuna huo urafiki basi ujue kuna mawili 1:Boy hajavutiwa kwa lolote na huyo demu😂 2:Jamaa ni shoga
2025-09-04 10:44:40
6
toto_fina
Toto_fina :
mbona uwekezaji undelee🤣🤣🤣
2025-09-03 17:22:44
9
munisi_tz
Munisi 🏀 :
hapoo swaa sawaa ufosi mua kuwa fimbo ya mkongojo utaulaa tu 😂😂🙌🙌
2025-09-03 18:12:25
7
wamipaloo
Sea :
Wewe ndo huna acha mdomo bhn 🤣
2025-09-03 20:44:01
5
user9528358580284
It's asmah :
jaman upooo sanaaa
2025-09-04 07:48:16
0
1002emmylixious
Minally :
mm ninao mbona
2025-09-04 08:01:47
3
firstboe_dill
First boe_Dill :
sio hakuna sema sisi ndo hatunaaa 😂😂
2025-09-04 03:15:14
3
jonasmajogoro
Ashraf :
MIMI HATA RAFIKI AMBAE NI SHEMEJI HAWEZI PONA JAMAN
2025-09-04 08:12:17
0
To see more videos from user @iroc.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About