ndo maana viatu vya mtumba vinakuja vikiwa vimechakaa yani singeli ulaya 🥹
2025-09-04 22:20:02
19
khaine47 :
dogo atakua atoi ganjiii🤣🤣😂
2025-09-05 22:13:49
23
ChrCh BØe💥 :
dj travela ndiye anasababisha mitumba ikija bongo inakuwa imechakaa sana..
2025-09-08 06:22:55
3
M.xoda255 :
Daaaaah! kweli bwna
2025-09-08 21:02:54
4
Msodoki Baba hildA :
kufa usifiwe shujaa wetu
2025-09-04 16:48:23
4
NgOnI Tz🌽🫶🏻 :
uyo ana-tour nyingi kuliko hata diamond
2025-09-06 15:14:44
5
MZALENDO HAI HAKI TUNDAlaAMANI :
2025-09-05 06:46:41
6
Paula Fundinguo KE/ME :
Serikali tu haimpi sapotiii sasa abutue mikwanja ataambiwa akija bongo alive kodiii... daaah😀 Ila mie namkubali mno
2025-09-05 02:52:48
4
CHAZZA :
bongo bila posho hamna kinachosogea😂😂😂
2025-09-05 12:23:43
3
adilsailor26 :
bongo Tatizo Wanafiki Sana Wacha Travela Afanye Mziki Wake Ambao Mbele Wana uelewa
2025-09-04 07:18:51
34
CHEF _GENERAL :
Bongo fitina wanataka waonekani wao tu Hakuna msanii anaepanda ndege bongo Kama boda boda ni adj travella tu mondi hamuwezi Dogo kwa kusafiri 🫡
2025-09-07 07:57:51
1
user90714218459266 :
jamaa anapig tour kulik hat msanii yoyot hap bongo mondi mwenýw hamfikii jamaa
2025-09-06 08:42:57
1
◥꧁Boͥe ͣAͫlone꧂◤ :
baruza baba bado hajakuona vizur wapige matukio wenyew wataelew🔥🔥🔥💪
2025-09-03 21:14:11
3
ummyomary125 :
Sasa huku hawawez kumpa maua kwa mana. we unaona anachokipiga, We mabit yakibububu nan atampa maua, Yy angepewa maua angekuwa anapiga singel za maongez kama wasanii wetu hapa. Hapo watu wangempa maua.Sasa hasapot singel za wasaniii wetu anapata maua ya nan😂😂
2025-09-08 10:15:59
2
Enock jelemiah :
wabongi si niwabinafi sana kaka
2025-09-04 06:12:42
5
Anna Mwakyambo :
travella n htr aktoka mondi😂😂
2025-09-09 18:48:27
1
the rocky jr :
no election no reform
2025-09-05 18:58:12
1
holy 💫 :
nipo tanzania we upo wapi
2025-09-06 08:34:41
1
zinooo :
travella balaa ninoumaa 🔥🔥🔥
2025-09-05 20:43:12
1
Mfa_sela_Ashpappy :
kweli mdogo yupo vizuri ila inch selekari. awajaamua kumuwezesha wanamchukulia. poa. yan ni diamond na Dj Travela. ndio wanasumbua nje uko
2025-09-04 18:00:30
1
championducktz360 :
TRUE💯💯
2025-09-04 06:59:14
1
Bpzo weka :
siyo mtu wa kawaida travel
2025-09-05 10:22:04
1
Bayzo Mc :
Kweli
2025-09-05 16:12:20
1
To see more videos from user @djtravellamrmixondo, please go to the Tikwm
homepage.