@monsuly2: Ukiona ujumbe kama huu ( Samahani sana kama nitakuwa nimekukwaza, Usiku mwema) na huu ujumbe umetoka kwa mtu anayekupenda /Mpenzi wako , Basi fahamu nyuma ya hilo kuna maumivu makubwa sana k

Monsuly
Monsuly
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 03 September 2025 19:28:27 GMT
83364
7469
129
261

Music

Download

Comments

simba.sc.tanzania8
Simba SC Tanzania :
kama unaipenda simba like
2025-09-03 19:39:21
49
zainab.586
Zainab :
kuna akina mimi hapa ambao tuko mbali na wapenzi wetu ndo tuna pitia maumivu 💘
2025-09-04 16:59:14
9
jack_thegreat_
Jackton Bisaga :
na sas akishatuma hyo xms simu hapokei na xms hajibu nilijuta kutokupokea cm yake
2025-09-06 13:47:22
0
088t443
tammymenard :
Mm ndo nilietuma nakufuta 🥹
2025-09-04 05:26:16
5
suzyregy58
Saju g the lady🍎🤦 :
Uwezi elewa hii situation kam ujawai penda
2025-09-04 09:47:52
6
user5761075084927
Sonnyreen 💞😘 :
Maneno yako unitia nguvu kaka❤️Mungu azindi kukubariki🙏🙏🥰
2025-09-03 19:39:12
15
kemmy.mlawa
Ethanmum :
mwingine hataatumiwe hivo hajali wala nini😳
2025-09-04 15:15:47
5
chantal87024
chantal :
Kaka napendaka sana maneno yako💗
2025-09-04 14:33:01
3
mtumzim
selemani Muhammad mbaruku :
inaumiza hii saut n maneno Yako yameniliza sana😭😭😭
2025-09-05 22:25:17
0
user6376661139222
abdi :
respect broo
2025-09-06 19:26:53
1
lucy._bae
lucy _bae :
huwezi kuelewa maumivu ya hii kitu kama hujawahi kupenda😔😔
2025-09-03 20:22:00
7
eliasi.mhonia
eliasi mhonia :
unajua sana kaka nakupa maua yako 🌹🌹
2025-09-04 02:42:28
4
mamuu9733
mamuu-97 :
mimi nilitumiwaga mchana akiniambia "najua nakusumbua ila nakusalimia tu"
2025-09-05 19:50:06
2
uncojay2
fabian 🇰🇪🇦🇪 :
maumivu unayo yapitia hakuna mtu anaweza kujua uzito wake kwanza alieamua kukuacha haezi jali unachokipitia
2025-09-05 20:57:33
1
user1918534187618
user1918534187618 tiner ally :
real
2025-09-04 13:14:32
1
cute.with.brain
Cute with brain 🦋🦋 :
Hakika
2025-09-03 19:43:41
2
ommygal16
Queen OMIE🦋🦋🌹 :
woooiiiih😭😭😢
2025-09-04 07:01:55
2
jedisterjedister
Jedister jedister :
asanteeeeh sana kaka
2025-09-04 12:38:21
2
wanjiwanj
MTENGA :
true😭💔my heart pain😭
2025-09-03 19:58:58
4
usreykhan
rey khan :
ubalikiwe broo kuna ukweli juu ya hili
2025-09-05 20:36:56
1
user7313496307421
Jose@2000 :
Asante sana kaka nakukubali
2025-09-04 17:37:02
1
abigaelmiriam
abigaelmiriam :
Walayi i don’t know why God alikubeba uko kote ninge pendeleya ukuwe ata mu congomani uko musaada sana ku mausiyano katha be bless Brother 🙏🙏🙏
2025-09-03 20:18:34
2
luogajr1
@bad guy😏 :
respect brother 💯
2025-09-03 19:56:37
3
murash706
Murash :
Sipingani na ww kwa hili huna baya kaka
2025-09-05 07:50:08
1
user44968338297307
Eunice :
Asantee sana kaka unasema vitu vyenye fact ambao atunawakutuxhauli Mungu kakuleta wew kwenye maixha yetu Mungu akupe maixha malefu sana kwajili yetu
2025-09-04 09:50:39
2
To see more videos from user @monsuly2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About