@al__hajj: إنا لله وإنا إليه راجعون Tunasikitika Kutangaza Kifo Cha ndugu yetu *Omar Aboud* wa Mla-leo, Kisauni. Marehemu alienda Moshi kwa Matibabu na wakati wa kurudi alipofika Voi alizidiwa na kufariki njiani. Aliwahi kufanya kazi kwanza na Lamy Bus kama dereva baadaye private dereva (wa nyumbani)kwa Bayusuf na mwisho akafanya na Signon freighters kama private dereva . Marehemu atatolewa nyumbani kwao Mla-leo (karibu na Coast Star School) kesho Alhamisi tarehe 4 September, saa tatu na nusu asubuhi n kuswaliwa saa nne masjid nur, Bondeni na kuzikwa katika maziyara ya kikowani upande wa Seif Halwa, Tunamuomba Allah amsamehe dhambi zake na amueke mahala pema peponi na awape subra watu wake, Ameen. Reported By; MUHAMMAD KHER…