Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@paohan85:
Nguyễn Bảo Hân
Open In TikTok:
Region: VN
Thursday 04 September 2025 02:04:45 GMT
8719
289
2
6
Music
Download
No Watermark .mp4 (
0.98MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
0.68MB
)
Watermark .mp4 (
0MB
)
Music .mp3
Comments
An Nguyễn :
❤️❤️❤️❤️❤️đáng yêu thế
2025-09-04 05:01:39
0
bdjxbdns :
🥰🥰
2025-09-04 13:37:13
0
To see more videos from user @paohan85, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
Idiot Female Officer & Tyrant Sergeant Owned For Framing Civilians - Part 5 #cops #police #audit #security #usa #viral #fyp #cop #copsoftiktok
#ANGALIZO :KUCHEZA MOBILE GAMES KWENYE SIMU AU KUWA NA PLAY STATIONS NI DHAMBI YA KUABUDU SANAMU MBELE ZA BWANA YESU. •Ndugu Zangu, Kwenye simu Kuna Mobile games au kwenye play stations Kuna aina mbali mbali za magame mfano Subway au Temple run au Prince of Persia , zuma n.k. haya magame ni ya kishetani na mtu anapokuwa anacheza magame haya anajiambatanisha na miungu migeni na Kuna mapepo unakuwa Unajiambatanisha nayo kwenye maisha yako. Imeandikwa Kutoka 20:3 [3]Usiwe na miungu mingine ila mimi. KUMBUKA: KILA GAME LINA PEPO NYUMA YAKE 1. ZUMA Hili game huwa linakuwa na mipira inayozunguka yenye umbile la nyoka na anatema mipira na mwisho wake anaenda shimoni. Kibiblia nyoka ni ishara ya Shetani na nyoka ni ishara ya dhambi, mtu anapocheza game hili dhambi zinapandwa ndani yake mfano Uasi, Uongo hasira,ubishi na mawazo mabaya. Nyoka huwa anatoa sumu na Kazi ya sumu ni kuua. Imeandikwa Mwanzo 3:13 [13]BWANA Mungu akamwambia mwanamke, Nini hili ulilolifanya? Mwanamke akasema, Nyoka alinidanganya, nikala. 2. PRINCE OF PERSIA Kibiblia, prince of Persia ni mkuu wa uajemi ambaye ni Pepo aliyezuia maombi ya danieli siku 21 , maana ya Neno " prince of Persia " maana yake ni mkuu wa uajemi imeandikwa Danieli 10:13 [13]Lakini mkuu wa ufalme wa Uajemi alinipinga siku ishirini na moja; bali, tazama, huyo Mikaeli, mmoja wa hao wakuu wa mbele, akaja kunisaidia; nami nikamwacha huko pamoja na wafalme wa Uajemi. "But the prince of the kingdom of Persia " •pepo lililopo kwenye game hili Linaweza kukuzuia maisha yako ya maombi na kuharibu mahusiano yako mazuri na Mungu 3. TEMPLE RUN Kibiblia, Dragon ni ishara ya Shetani mwenyewe, yule Mnyama anayemkimbiza mtu ni ishara ya Shetani. Ukiwa unacheza game hili ujue nguvu za kishetani Zinaingia kwenye maisha yako na unapandiwa Roho ya Mpinga Kristo kupinga mambo ya utakatifu wa Kweli Imeandikwa Ufunuo wa Yohana 13:2 [2]Na yule mnyama niliyemwona alikuwa mfano wa chui, na miguu yake ilikuwa kama miguu ya dubu, na kinywa chake kama kinywa cha simba, yule joka akampa nguvu zake na kiti chake cha enzi na uwezo mwingi. 4. MORTAL KOMBAT NA NEED FOR SPEED(MASHINDANO YA MAGARI) Kibiblia, Bwana Yesu hapendi mapigano au mashindano na anataka Watu wake wapendane.Kuna mpiganaji anaitwa Scorpion na akiwa anapigana huwa anatoa nyoka mkononi mwake . Yule nyoka ni ishara ya Shetani na uharibifu. Tanya huwa amevaa chupi tu, hapa mtu anapandiwa Roho ya uzinzi na Sonya huwa anakuwa amevaa suruali vazi ambalo ni machukizo mbele za Mungu kwa mwanamke kuvaa. Kupigana na kuuana ni tabia ya shetani na ukiwa unacheza game hizi unapandishwa ya mapigano na mashindano ndani yako Imeandikwa 1 Wakorintho 14:33 [33]Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko, bali wa amani; vile vile kama ilivyo katika makanisa yote ya watakatifu. 5.SUBWAY,SUDOKU, PUZZLE ,TETRIS Haya magame yanachukua umakini Wa mtu kwenye akili yako na unakosa Muda wa maombi na kusoma biblia. Hii inaharibu mahusiano yako na Bwana Yesu Imeandikwa Wakolosai 4:5 [5]Enendeni kwa hekima mbele yao walio nje, mkiukomboa wakati. 6. JUSTICE LEAGUE NA FOOTBALL GAMES ZOTE. MBELE za Mungu, Mpira wa Miguu ni ibada ya Sanamu na dhambi ya udunia. Huu mchezo umeambatana sana na uchawi na uganga. Wachezaji wengi Wameuza nafsi zao kwa shetani. Imeandikwa 1 Yohana 2:15 [15]Msiipende dunia, wala mambo yaliyomo katika dunia. Mtu akiipenda dunia, kumpenda Baba hakumo ndani yake. ••• SIKILIZA USHUHUDA HUU WA KWELI KWA LINK ILIYOPO KWENYE BIO YANGU writer: John Kagoro Whatsapp:+255629923647
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy