kama wako dodoma naomba namba plz nmchangie chochote uyu kaka hapendi kuiba nimaisha tu
2025-09-04 17:17:48
308
Sendo Bora Kariakoo :
Wanajua isipofuata Mkondo basi Kiberiti kitafuata Mkondo wake...😎😎
2025-09-04 18:55:06
223
NKULILAJR :
Jamaa anataka akafungwe ale bure😁
2025-09-04 19:12:53
490
mudyzeke :
mwizi mkubwa anamshangaa mabangi tukafungwe?😳🤣
2025-09-04 17:50:20
206
vicent minja :
Mi kaniambia twende tukafanye kazi,
mi mwenyewe mtu wa kazi,
sina hela niache kazi,
siwezi nikaacha kazi,
kwa hiyo huna kazi au huna hela?
Hela sina kazi sina😂😂
VINA VIMEZINGATIWA.
ata kama unakuwa mwizi angaliaa wa kuibaa nao maana unakutaa mtu kama uyuu we unaomba msamaha yeye anasema sheria ifate mkondo wake asaaa si uchuro uhooo🥺🥺🥺🥺🥺🥺
2025-09-04 18:57:22
7
Mikey_d :
mmoja bangi hazijatoka: Sheria ifuate mkondo wake.
mmoja bangi zishatoka: Tukafungwe??😂
2025-09-11 07:53:27
15
only@one :
adi mwenzie kashtuka shelia ifate mkondo wake tena😅😅😅😅😅
2025-09-09 17:38:33
73
jק🎸🏌️ :
Sheria ifate mkondo akeee😹😹💔
2025-09-04 20:05:38
13
Ms p ❤️ :
Bby mimi nataka mtoto leoleo 😀😀😀😀😀
2025-09-10 08:41:18
16
Ndapisi jr :
Tukafungwe was personal😂
2025-09-10 12:49:21
6
Irene Rwabe :
Yani nimecheka balaa😂 eti shelia ifate mkondo wake
2025-09-05 07:01:58
54
Malick :
alietoakazi muoga kweli🤣🤣aliepewa kazi jasiri 😂😂
2025-09-10 09:58:32
52
milado kisailo :
pare unapoiba na mtu anae penda kwenda segerea 😂😂😂
2025-09-05 14:21:48
39
Mariam :
😂😂😂huyu mrefu ananichekesha anaomba msamaha kirahisi sana 😂😂
2025-09-04 18:10:12
70
swala🪚🪚🪚🪚🪚 :
Sisi watanzania ukinylosha maelezo unaonekan kichaa jama kanyoka hana kazi akatae kazi na yeye nmt wakazi kakamatwa anaomba Shelia ifat mkondo wake
2025-09-04 18:23:34
29
Hpmbaga :
@Hpmbaga:Mi kaniambia twende tukafanye kazi,
mi mwenyewe mtu wa kazi,
sina hela niache kazi,
siwezi nikaacha kazi,
kwa hiyo huna kazi au huna hela?
Hela sina kazi sina😂😂
VINA VIMEZINGATIWA.
2025-09-05 22:17:14
6
KIJANA WA HOVYO🍻🎶 :
Uyo mwizi mwengine anajuta kuiba nae😅
2025-09-04 20:23:29
36
To see more videos from user @mrsmile192, please go to the Tikwm
homepage.