@lightcasttvkenya: "Nilisema iko shida ya magaidi Mandera wakanipigia kelele hata wakasema nishikwe nikirudi. Sasa kila mtu anasema hiyo!"~Rigathi Gachagua lectures Murkomen.
nashindwa watu wanapata nguvu wapi ya kuchukia Gachagua ....ni msems ukweli💯
2025-09-04 13:24:21
30
Benson :
Huwezi kua kiongozi hii kenya wewe peleka ukabila kwenu
2025-09-04 14:27:00
0
Good LUCK :
siulikuwa kwa serikali mwanzo mbona wakati huwo hukuzungumza?sasa wewe umebanduliwa na hata kiti cha mca wala chief hutapata.KDF wakipelekwa somalia kutetea jubaland kismayo mbona hukuzungumza?Tafadhali RG usipotezea watu muda ambia wakikuyu watafute Kiongozi mwingine ambaye anafasi ya kusimama RAIS KENYA.Hapa sioni kama kuna mafanikio 2027.
2025-09-06 15:35:07
0
Brity Denick wa Ichela :
:mwenye analike video zangu tano na like zake kumi nne supuu na namfollow ,,,,, 😂😂😂 twende nayo
2025-09-04 12:57:35
2
adeshhjjibrahm :
kama unatute tea suu kuuje mandera
2025-09-04 14:01:38
0
rocks :
Tuma mungiki huko..
2025-09-04 13:40:18
0
mdeeq290 :
Wwe ni kiongozi wa murima sio Kenya
2025-09-04 13:44:53
2
njorogewanja_001 :
kichwa Maji
2025-09-04 14:03:15
1
Dan :
Gachagua the truthful man🔥🔥
2025-09-04 18:24:10
0
Elyears Maalim :
Truthful man
2025-09-04 14:27:43
3
Don Ake :
most truthful man 🥰
2025-09-04 16:00:47
2
margaretndungu49 :
Our truthful man
2025-09-04 14:13:49
3
King :
Deal na murima mzee. ajana na mandera🤣🤣
2025-09-04 14:42:44
2
dalmarsnr :
ukweli ume semwa na riggy. bp1 location
2025-09-04 14:01:49
3
Mr Rush :
This guy makes sense
all his statements are becoming truth
2025-09-04 16:05:36
1
Sam enterprise :
the 6th
2025-09-04 14:49:39
2
Doctor :
wambie ukweli
2025-09-04 13:12:19
3
ustadka :
kweli rais
2025-09-04 15:27:35
1
user541092752269 :
kabisaa
2025-09-04 12:47:18
3
Qalla Dika :
kabisa
2025-09-04 12:44:20
3
@____Xharkanovic____67 :
Truthful man🥰🥰🥰
2025-09-04 14:38:45
2
davido :
kiongozi 🔥chama ni DCP
2025-09-04 14:42:56
1
esir khalif10 :
kwenda wwe naona ata wwe uko n ujinga xna coz we all trust reggy and he's truthful person that we have here in kenya today
2025-09-04 15:28:22
1
IBN KHALIL🇬🇲🇬🇶 :
Mandera haina shida mzee ongea kuhusu mrima
2025-09-04 18:13:49
0
~THE ADEN, THE AIR 075 :
huyu leo amepata ukweli wa kuongea leo hata kama si maneno yake ya ukweli🤣🥰
2025-09-05 12:15:30
0
To see more videos from user @lightcasttvkenya, please go to the Tikwm
homepage.