@iroc.tv: “Elimu inatoa maarifa, ila haijaniandaa kufanya hii kazi ninayo ifanya” @ahmedabdallah05 Je, mfumo wetu wa Elimu una waanda watu kuwa na ujuzi na kujua malengo yao? 🧏 Bonyeza link kwenye Bio kuangalia kipindi youtube iRoc Networks 📺 @ahmedabdallah05 , @almah_bronxi & @charles_matukio Cc @iroc.tv @nmbtanzania #BeMore #Thejunction#NmbKaribuYako#tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪

iRoc Network
iRoc Network
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 04 September 2025 14:12:10 GMT
32501
1669
13
34

Music

Download

Comments

timothy.baltazary
Timothy Baltazary :
Watu wasichokifaham ni kwamba elimu jinsi ilivyo ukiishia njiani utaiona haina maana Ila waliosoma mpk kwenye application basi kila walichosoma wanakiaaply ndiomaana zaman walikua walikua wanaongeza na stadi za kazi ili ukiishia njiani basi utumie ustadi uliosoma😃😃
2025-09-05 16:54:25
1
tinahjoseph06
Tinah Joseph💞 :
Kuna kitu hakipo sawa.. msomi anaikataa elimu haijamsaidiaa???.. Haijamuandaa???.. Kutafuta X???.. Huhaitumiaa?? Kiukwel kabisa hvyo vyote n muhmu.. sababu hata hizi smu watengenezaj wametafuta sana x and y.. Issue ni kukubali life bila elimu hata ya msingii tu; Ni kama hamna maisha.. Ukikuta mtu ana hela nyng alafu hajui hesabu za hzo ni tofauti kubwa sana na mwenye hela kidgo anayejua hesabu..
2025-09-05 08:04:48
0
athumani6540
Athumani :
🧠🧠
2025-09-04 14:52:26
1
football.best.emot
@Football Best emotional :
naam
2025-09-04 14:40:50
0
sceb23
Sceb23 :
Jamaa kasoma ila hakuelimika. Aliishia kukariri tu
2025-09-05 10:22:03
0
alfredy129
Alfredy :
❤️
2025-09-06 17:56:12
0
jawadtz
jawadtz :
🔥🔥🔥
2025-09-09 17:00:19
0
nipsey7341
Nipsey :
😅
2025-09-12 18:36:27
0
glonacie7
Glonacie :
😳
2025-09-12 19:16:29
0
sameera001658
sameera :
😁
2025-10-01 11:14:56
0
ibrahkadabra1
Ibrah Kadabra :
Huyu dada ana akili nyingi sana kuliko huyo jamaa anaezungumzia elimu
2025-10-04 06:01:45
0
ibrahkadabra1
Ibrah Kadabra :
Jamaa ameshindwa kujua thamani ya elimu pamoja na kwamba elipata ka elimu kidogo
2025-10-04 06:03:44
0
nazmin.salim
Nazmin 🌹 :
😂
2026-01-05 21:16:24
0
To see more videos from user @iroc.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About