Taratibu tumeanza kufanana akili na majirani😂😂 I knew this day would come
2025-09-05 07:15:12
45
amor ❤️ :
MBOSSO UYO WAMETOKA KIMBIJI KUREKODI
2025-09-05 10:39:01
3
Ibu🦍Ape :
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote
nchi yangu Tanzania jina lako ni tamu sana
2025-09-06 19:28:47
1
Kibegi54 :
mpiga gitaa yupo wapi kwan🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-09-06 19:21:38
3
rITZrOTZ ♊ :
kuna vitu tunachekelea tu😅😅😅😅....madi maxii ya bongo hiioo, pata picha ndinga moja imekanyaka mtoto wa watu hapo halaf mbanga zote hazina number plates, halaf watu wakaoshaaaa... nchi inaanza pitiliza sana uhuru sasa 🤣...
2025-09-05 06:57:01
2
12🏀 :
amna bana ilo la kwanza ni la wrong turn 🤣🤣🤣🤣
2025-09-04 22:18:21
25
samysamy :
ivi Arusha mnaniniii🤣🤣🤣🤣
2025-09-05 06:35:16
7
Ramaa chidy :
mbona siwaon wale wapiga gitaaa
2025-09-04 18:25:49
44
Nuhu Salim :
😂😂😂😂😂 aseeee
2025-09-04 21:57:51
1
ømmy sàvãgè :
TULIOKUWA TUNASUBIL WALE WA VIPIKIPIKI KWENY FIMBO
2025-09-06 18:07:29
1
Harrydinho Ronaldo :
M niljua Tanzania ningeshangaa kumbe bongo 😂😂
2025-09-05 07:40:26
15
ASAP mood :
Tungi Kigambon 🔥🔥
2025-09-04 18:01:43
6
Fadhily Sayyid :
Oya kuna nn uko??
2025-09-05 07:20:22
1
Diana Edgar :
Aiseeee 😂😂😂😂😂😂
2025-09-05 17:30:26
0
jiggah_06 :
Sio arusha bro
2025-09-05 10:42:05
0
Dê_smart khamy🤗 :
hyo ya Kwanza ina mpka enga ya kuanikia nguo😂🔥
2025-09-06 08:08:48
0
J.designer0 :
kama sio arusha n wap kwngn😄
2025-09-06 13:32:50
3
Timothy Fedrick :
Leo ndio nimeishiwa Pawa, wabongo simameni nishuke jmn🤣🤣🤣
2025-09-04 20:22:53
5
Miss shany ❤️😘 :
😂😂😂 nimeyaona Leo ayo nusu nikimbie nkajua mambo ya wrong turn 😂😂😂😂
2025-09-05 04:52:35
1
king jack :
heee mad max ya kibongo imetoka nw hamsemii🤣🤣🤣
2025-09-04 22:08:50
3
adilsailor26 :
hahahaha
2025-09-04 21:52:42
1
Lil_tronnie01 :
MBONGO MPE VIFAAA akuoneshee mauwezoo😂🔥🔥
2025-09-04 17:09:56
6
ìðřįṣś_ìďď💣 :
😂😂wrong turn
2025-09-05 16:57:42
1
It's Mjuba 🧸✨️ :
kwel BONGO Nchi nyingne sio TANZANIA 😂
2025-09-05 06:44:39
3
ĶỊĹỊN̈ḌÖ GÄMÏÑG :
ila hii nchi😂😂
2025-09-05 17:14:38
2
To see more videos from user @king_of_drift_tz, please go to the Tikwm
homepage.