walidhamiria kumuua kabisa jamani Mungu anaishi siku zote
2025-09-05 13:00:44
3
Fred :
Mpaka sasa iko wazi waliomshambulia Lissu ni ccm mtandao na walilifanya hili kumhujumu Magufuli aonekane dikteta na muuaji na walifanikiwa kuwaaminisha watu wengi hiyo kitu ila wenye ufahamu tulijua kuna namna hapa na sasa Polepole amewaonyesha ni nini kilikua kinaendelea chini kwa chini dhiti ya utawala wa Rais Magufuli
2025-09-06 08:34:55
2
Nicholous Sakozy :
Laana ziwapate huko waliko!
2025-09-05 11:35:26
5
benjamin john877 :
Inatia hasira sana,pole sana kiongozi
2025-09-05 04:18:50
6
amin :
haw wana habar n washamba.walimshambulia kutok upand gan nyuma au mbele .wange muuliza hivyo. sasa yamezubaa kam muvi anatafsir dj maki .pimbi hao.