@user51176243926012:

sumaa og ⁷⁶
sumaa og ⁷⁶
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 04 September 2025 18:50:30 GMT
434957
18979
485
586

Music

Download

Comments

user7548629669039
salheart :
mwenye Azam katisha sana Apewe Mauwa yake Tu
2025-09-06 08:54:38
27
likas.thomas
Lukas thomas :
iv nyie mmemuona uyo dogo mwenye kisu kiunoni anavyo likata uno ama ndo mko bize na ako kalinzi shirkish kenye ijabu😂😂😂😂
2025-09-05 04:34:10
24
swaz_88
𝗧𝗛𝗘___𝗕𝗢𝗦𝗦 :
Vibe la hao madogo liko on top
2025-09-06 03:49:50
4
user5531287958685
user5531287958685 :
uyu dogo alive vaa jezi ya azam niachieni wangu uyoooo😂😂😂
2025-09-05 19:47:57
8
bonyface5492393323921
NyikaTz 🇹🇿 :
Mkoa gan apo
2025-09-05 19:41:10
4
husseinmafita
husseinmafita :
nimependa walivo cheza wadada
2025-09-05 06:10:39
20
baraka.juma34
beka boy tz🇹🇿 :
azam katisha
2025-09-06 02:52:28
2
official.kizzy.bra
MR.PR0.MAX™√ :
alie vaa jez ya Azam Yuko vizur na kazi yake😁😁😁
2025-09-05 08:15:12
13
nasreinah
Nasreinah :
huyo mtoto wa Azam nmebook mapema nasitaki muingilie
2025-09-05 16:34:43
5
rashidi.mohamed
Rashidi Mohamed :
Nafkili hata wadudu pia wanatokea huku
2025-09-06 17:17:15
2
user6735594781921
rahma :
huy mtoto mweny kijub chekundu ypo makin na dada zake
2025-09-05 07:27:09
2
sallydecoolboy0
@sallydecoolboy00 :
Na huyu mtoto katokea wapi🤣
2025-09-05 14:14:41
2
user7689192452
Ahmed :
hongera kwa aliyemlea huyo mtt
2025-10-03 10:48:35
2
odmmmuya1410
ODMmmuya🤑 :
kilivyofanikisha kazi ya ulinz shrksh kikasebenek kdg😂😂
2025-09-06 12:24:11
3
user81474876103073
user81474876103073 :
mmecheza vizuri ila mnawapaje uhuru hao waschana wanajitawala hivo wasambaratisheni muwagawane 😂😂😂😂
2025-09-05 03:19:21
6
msngamestz
MsnGamesTz :
mm sio mtabili ila nauhakika apa ni njombe 😂😂😂
2025-09-05 19:30:35
1
jasminemgawe
jasmine🍃🍇🔐 :
mnanikumbusha kijijin kwetu😳🤣🤣
2025-09-05 17:10:25
0
user1021340688446
salma Abdullah :
ila wamebaluzaa atari
2025-09-05 19:06:28
2
charlesmshana8
mshana finest♥️💯💥🇹🇿 :
mbn kirangi kipo apo😂
2025-09-06 07:37:07
1
user1025498250618
star mwiku 002 :
mtoto kazuia mali isiguswe h🤣🤣
2025-09-06 05:09:30
2
user1413754790402
Miss 🦋 :
hii ndo disko kuingia mmathai
2025-09-05 21:20:55
2
mtondiapoultryfarm003
Mtondia poultry farm :
😂 Namkubali sana huyo mtoto
2025-09-06 09:56:28
1
chimudick
Mudick :
mwanangu wa azam anaenda kama jiran😂😂
2025-09-06 13:40:44
1
daudi184
king davie720 :
sas hizo fimbo z nn
2025-09-06 19:21:50
1
kidy_mpole
Kidy_Mpole :
Wasai hakuna miaka hii😂
2025-09-04 22:01:00
3
To see more videos from user @user51176243926012, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About