Nimewah ckia oats za brown ni kwa ajil ya kulose weight hzo nyeupe kugain, Is it..?
2025-10-10 09:13:20
3
🦋life.of.iddah🧚🏼♀️ :
Namesake❤
2025-10-28 14:53:15
0
🥰☪️🌸 هاجره :
Naanzaa leo
2026-03-19 15:50:09
0
Ossy Jr. :
mwanzo nlikuwa naskia Odds 😂😂... kumbe ni OATS
2026-04-10 07:17:36
0
Shi-nayner💕 :
ongea haraka jmani nataka nile mm uko😂😳
2025-11-27 18:05:06
0
Soph20205 :
pilipili manga ni lazima?
2025-09-06 07:20:14
0
HossyMoses🤍🦋 :
Sasa Shoga angu ulishindwa kunishaur na huu wembamba jmn😩🥹sijapenda
2025-09-05 19:40:10
0
Leathy99 :
mimi sipendi maziwa, naweza kuweka maji tu
2025-10-05 14:15:54
0
Aysher Nyundo :
apo ukishaiva unaweza kukatia ndizi mbivu ukachanganyia humo kwenye uji wa oats taam balaa,kama ni wa mtoto hizo ndizi unaziponda ponds unachanganyia humo very healthy🥰
2025-09-05 17:53:36
1
fayee💕 :
Mmmh Iddah weh 😂😂😂😂😂
2025-09-05 07:12:35
0
judcay-arlvin :
dada yang umenunua wap iyo oats mi nimetafuta sijapata naiitaji dada angu
2025-09-06 05:02:35
2
Kayah🦋💨💕 :
Kwann ilinishinda mm 🥺💔
2025-09-05 13:49:53
1
marrytesha57 :
kwa mtoto unasaga kwenye blenda ya vitu vikavu kwanza ndiyo unaanza kupiga unakuwa nzuri zaidi
2025-09-06 00:06:59
3
Berry🌸🤍 :
Jmn ruhusu tusave vdeo
2025-09-05 21:56:44
0
pendomchome :
Mje niwauzie maziwa ya ng'ombe 12000 kwa lt 5
2025-09-07 17:01:57
0
Miss Lee❤️ :
Jmn kwan m najua oats inasaidia ku lose weight 🥺
2025-10-06 16:50:23
0
judithshirima36 :
Mbon nini nikinywa mapigo ya moyo yanaenda speed sana
2025-09-06 12:02:56
0
mimi______gii :
Add peanut butter🥰
2025-09-06 12:10:11
2
Ms.happie :
Hv inafaa kueka mtindi nikipika hvo huwa naisaga na ndiz na pinut butter na mtindi kwakua sipend fresh
2025-09-06 16:06:55
0
Shey🦋 :
Eeeh mwaaa for me😂😂👌
2025-09-05 14:17:24
1
To see more videos from user @itsiddah0, please go to the Tikwm
homepage.