@walalajr255: Visit Mini Re De Janeiro of Tanzania (Bukoba) #visittanzania #bukoba #bukobatanzania🇹🇿 #riodejaneiro

walalajr255
walalajr255
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 05 September 2025 08:12:31 GMT
173828
5735
356
368

Music

Download

Comments

mtembezi_tnz
MTEMBEZI 🇹🇿✧˚₊‧ :
Ukitembea bukoba sekunda 10 usipoona Premio ujue hapo sio bukoba.Wenyewe wanaziita PRIMOOO😅🔥🙌🏾
2025-09-05 18:26:09
77
jugxsfvhjmbxg
htfddcghnbcVb :
Mama ni Muongo huyu 😄😄😄😄 Bukoba hii hii yenye mtaa mmoja tu wa kashai 😆😄😄😄😄
2025-09-05 17:38:11
20
rapunzel43801
Rapunzel :
mara ya kwanza kuja huku nikafika hadi Karagwe nauliza mbona bukoba mjini hatujapita??😩😩 hii Kagera vyakula tuu vya asili ndo vingii ila vumbiii nyieee
2025-09-05 20:44:07
5
tibs200
Tibs :
wahaya wanaringa na kujisikia ila mkoani kwako kubaya kupo nyuma sana kimaendeleo
2025-09-05 21:41:33
5
shakiru.almas
Shakiru Almas :
umetisha bro
2025-09-05 14:41:22
5
thebrokeeconomists
CPA ISSA :
Vipi pisi za bukoba bei kali ama nafuu typing from kenya😂
2025-09-06 07:54:32
2
tztech_giant
tztech_giant :
Bukoba nimefika aisee bado sanaaa, me first time nimefika apo sikuamini ndo hapo ambapo wahaya wanaotusumbua mjini wanatoka huko, pachakavu mnoo🙌🏾🙌🏾
2025-09-05 23:01:38
22
wamunyinyi12
wamunyinyi12 :
ila wahaya kwa sifa 🤣🤣
2025-09-05 15:26:03
11
de003176
de :
Mbwa nyie mnapajua Jahazi from Bunaz au mnaijua PARADISE😁
2025-09-06 14:11:23
0
user78661493987043
tale :
tanzania inamiji ningap?
2025-09-06 21:58:08
2
anordgerase
ANORD :
bc unaweza uka Google 😂
2025-09-06 15:40:25
3
lyela032
Leyla💜🥰 :
Ila Wahaya 😂😂
2025-09-05 14:04:58
5
user7836138430988
Kelvin :
bukoba vizur
2025-09-06 19:26:34
2
prof5930
Prof :
Hafu huyu kaamua kwenda pembezoni mwa mji ili kuleta aibu.
2025-09-05 17:19:40
5
antidiuscharles1
antidiuscharles1 :
baba umetudharirisha 😄 au umetumwa na waha nn,ukitaka radha ya bukoba shuka kuanzia linaz,kule coffee panda okogad kule juu
2025-09-05 15:13:02
2
reenbelle0
Mom B💙🌼🧸 :
familia kubw 10/10 mukuje🥰🥰
2025-09-06 18:43:16
4
modelcadash66
modelcadash66 :
Wale wa 10/10
2025-09-07 02:24:17
1
waukaya3
waukaya3 :
tuoneshe stand kuu kwanza
2025-09-06 07:52:03
0
kim.jolly11
Kim jolly💜 :
like 5 vedio n like zak
2025-09-07 16:35:26
0
missjane015
Janeth🦋 :
Sijapenda ndo uonyeshe pembezoni mwa mji jamani ili tuaibike anyway hakuna sehemu nzuri na ya kuvutia kama mkoa kagera💪💪💪
2025-09-06 14:36:59
3
zashey558
it's zay :
mchezo wakulaiki video tano
2025-09-07 18:39:08
0
user1690339997598
Salum :
Samia WETU mitano tena.
2025-09-05 15:56:10
1
juliejaphet590
Julie Japhet :
Bushi tu mpaka mjini Bukoba bado sana
2025-10-24 15:29:56
1
robbie6161
robbie :
let assume wahaya wangepewa moshi au atwn city,wahaya mi5 tena🔥
2025-09-12 06:13:13
1
user7352677324469
Mery :
Mtu asiguse comment yanguu😂😂😂
2025-09-06 11:12:12
2
To see more videos from user @walalajr255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About