Duuh huyu mzee alikuwa mnyenyekevu mbele za mungu hadi raha
2025-09-06 12:00:23
106
I AM AFRAID OF GIRLS :
Sizani kama tutakuja kupata Rais mnyenyekevu kama huyu😳😳
2025-09-06 16:26:56
45
Zawadi Michael :
mwenyenz Mungu ampe punziko la milele😭😭
2025-09-07 08:03:44
44
Joseph Mkama :
Once a seminarian always a seminarian
2025-09-06 11:57:12
10
Timmie :
mungu twakuomba msamee makosa yake
2025-09-05 16:06:04
26
mtoto msitaarabu 🙏🙏🙏🚶♀️ :
Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi Amina 🙏🙏🙏🙏🙏
2025-09-06 09:31:57
33
ABUU SAHIL :
hili pengo halizibiki tutalia maisha yetu yote kwakweli😭
2025-09-06 20:24:48
12
Emmanuel Mtatiro :
R.I.P Mtenda haki 😭😭😭😭
2025-09-06 08:11:45
13
GODSON :
aisee nimejikuta natowa machozi sielewii
2025-10-14 17:06:23
5
Maureen keno :
Ee MUNGU muweza wa vyote najua uliruhusu hili litokee lkn tunaomba BABA ututazame wanao Hali tuliyonayo Sasa, tunaomba utusaidie😭🙏, MUNGU ibariki Tanzania
2025-09-09 09:31:43
7
Joshua6 :
Sasa pamoja na ulinzi mkali hivyo lakini mtu bado anakufa, aaaah!
2025-09-06 10:03:22
30
Enock enricky :
mzee alikua mnyenyekevu sana 👏
2025-09-08 16:26:48
6
conshazee :
daah hii video kama imechukuliwa jana hivi💔
2025-09-06 21:38:15
9
Mr macha :
NAKUMBIKA SIKU ANAKUFA UYU JAMAA NATOKA CHUO KIGAMBONI NAENDA LIKIZO HOME MOSHI MACHOZI YANANITOKA WATU WAKASEMA NARUDI HOME KIJIJINI NDIO MAANA NALIA MM NIKASEMA AMNA NIMACHO YANAZINGUA YANATOA MACHOZI YENYEWE SASA UKWEL ULIKUA NI HUYU MZEEE. SIJUI KWA NN ALIKUA ATA RAIS ASEE😞
2025-09-06 16:11:00
11
user951298041069 :
alikwenda usiku akaoneshwa kushakucha alilala kanisani au
2025-09-08 16:13:08
5
jaychanda19 :
iv unayaona machoz ya watanzania magufuli wew😭😭😭😭
2025-09-07 05:37:25
7
khaleed yahya :
tumeumia sn kuondoka kwa uyu shujaa wa taifa letu 😢😢😢
2025-09-26 05:04:54
5
Judie limo :
Tutakukumbuka Kwa mengi Sanaa baba wa wanyongee
2025-09-05 15:39:43
8
Mbere Sero🏹 :
lala kwa Amani baba wataifa letu tumeku miss sana
2025-09-06 22:16:36
6
Wilson Peter :
Asante kwa Mungu kwa yote umenitendea
2025-09-05 22:44:07
7
Daniel Mtui :
Mungu amwepushe na moto wa milele🥺
2025-09-06 08:16:57
8
Daima Salum :
nahisi kulia pumzika kwa aman baba yetu
2025-09-08 07:48:05
5
yusuph :
mwanga wa milele umpe ee bwana apuzike kwa amani amina
2025-10-01 21:17:15
2
To see more videos from user @catholic_melody_tz, please go to the Tikwm
homepage.