@ahmet.simba: huu mwaka watani wanalo sio poa,😁😁

Ahmet Simba
Ahmet Simba
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 05 September 2025 16:58:42 GMT
116014
4002
163
321

Music

Download

Comments

artist7614
ARTIST :
kwani GSM hamuion au hamna macho
2025-09-05 17:12:44
11
farajawambura57
FARAJ TZ :
hizo kampuni zina mkataba na hizo timu, Je diadora ina mkataba na simba? wajinga ndo waliwao.
2025-09-06 07:31:25
2
kevinbilget
Kevin Bilget :
hao wametengenezewa na mbeya boy
2025-09-06 17:00:39
0
g066155
G :
Gsm hapo kakaaa😀😀
2025-09-06 11:35:31
5
eslajohn915
malkia :
KAMPUNI INAITWA KIATU WALISEPA🤣🤣🤣
2025-09-05 17:12:29
21
jabirjr23
Jabir Tz :
kasach mikataba na hay makampin utaiona alafu Sach mkataba wako?🤣🤣🤣
2025-09-06 09:49:42
2
user4123817249385
user4123817249385 ommy da huse :
jezi ya yanga inatengenezwa na wahuni mkulangwa pale
2025-09-06 10:55:37
2
zillyboe_128
Zaheer khan👑 :
Na jayrut anafanya nini kwenye hilo pakacha
2025-09-06 10:57:53
2
seuli878
seuli :
kwani yanga ni club au mbona top 10 siwaoni riki za cuf
2025-09-06 16:07:18
0
msham809
msham :
hoja sio jezi,ni ushindi kakaa
2025-09-05 18:02:26
5
jumanneally661
Jumanne Ally :
Subiri tar 16
2025-09-06 11:53:41
2
mweta2003
mweta2003 :
Yanga wakiona wanateseka 😂😂
2025-09-06 10:15:45
3
torento_2009
Torento_A3 :
hahahahahahaha yanga hadi hurumaaa poleni na kitenge chenu hicho
2025-09-06 06:49:30
3
kondytz
Mr :
tumeyatengeneza kule mkuranga tena mim ndio nilikua msimamizi ..unabisha ulikuepo
2025-09-06 09:02:21
2
andrewwiston497
Andrew Wiston :
au imetengenezwa na wafuma mashuka
2025-09-06 10:12:12
3
naflamohd
nafsai :
nyie asa washambaaa
2025-09-06 06:37:03
2
user80169008758453
karm 🇿🇦 :
nausiache kaka mpaka waombe harf time
2025-09-06 11:30:43
4
izackfanuel
Izack fanuel :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 simba nguvu moja
2025-09-06 05:41:54
4
lucyezra5
Lucy Ezra :
Batiki 😂😂😂
2025-09-06 07:16:45
2
mbu2nyo
Mbu2nyo :
Jez ya roma adidas
2025-09-06 11:17:14
2
joshuashayojoshua345gmai
joshuashayo458 :
hyo ya Mwisho imetengenezwa na GSM kiwanda kipo Mkuranga
2025-09-06 12:12:40
3
issacallando
Notorious :
hivi mnajua simba Hatufaidiki na Diadora au mnashangilia tu??
2025-09-06 04:54:53
2
abdulikareemomary
Abdulikareem Omary :
Jezi ya yanga imetengenezwa na ccm😂😂🤣😂🤣😂🤣🤣😂😂
2025-09-06 04:21:39
3
mwendatz
Mwe Nda Tz :
sehemu yakuweka logo ya aliyetengeneza Jessy nyio mmeweka mo cola😅😅😅
2025-09-06 08:43:17
2
user37375790017300
Razack Hamis :
kampuni ya cement dangote mtwara😂🤣🤣 ndy imeteneza jezi mpya ya young Africans
2025-09-06 04:55:32
5
To see more videos from user @ahmet.simba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About