@iam.emillio: JIRANI TANZANIA 🇹🇿 amedraw 1-1 Vs CONGO 🇨🇬.#kenyansinqatar🇶🇦🇶🇦🇰🇪🇰🇪 #kenyansinsaudia🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪 #kenyansingulf #tanzaniatiktok #tanzania

iam.emillio
iam.emillio
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 05 September 2025 18:49:33 GMT
17089
1036
220
4

Music

Download

Comments

directorvinnyjfm
Director Vinnie 🇹🇿🇰🇪 :
Gambia 🇬🇲 mchezaji gani yuko majuuu🤣
2025-09-05 20:08:24
5
augustin.ogusto
augustin ogusto🇨🇩🇨🇩 :
kwani haka kajamaa kana zungumziya congo gani kati ya hizi congo mbili drc🇨🇩 🇨🇩 am congo Brazzaville 🇨🇬?
2025-09-05 20:15:51
8
suleymanbinsoud1
S bin Soud :
Tunaskia mmefungwa………!!!!!😂
2025-09-06 09:39:57
0
bienvenu71
boutross :
iyo ni congo Brazzaville sio congo kinshasa
2025-09-05 21:29:05
3
xavierxaka6
Xavier :
Kongo unayo izungumzia ikona amani kuliko TZ maramia
2025-09-06 03:15:56
0
issacallando
Notorious :
alipokwenda kwa mkapa alikula 3-0 Gambia ni taifa dogo sana kisoka nyie semeni hamna timu ya mpira 😂😂 Congo ina wachezaji almost 6 wanaotoka ligi za ulaya, hata sisi hatuna wachezaji wengi wanaotoka ligi za ulaya nyie kikosi kizima kinatoka ulaya na bado mnafungwa na Gambia tena hapo hapo Kasarani🤣
2025-09-06 06:40:59
0
joycie365
joycie :
alf jua kuongea kiswahili fasaa nd ubishane na Tanzania
2025-09-05 18:59:57
4
shakilakyeyus
shakilakyeyus :
police wenu wamekunywa 2 huku TZ, kamdomoo😁
2025-09-05 19:01:58
16
kissboy_tz1
KISS⛹️BOY🇹🇿🇹🇿 :
Nyie mmelogwa kbx
2025-09-06 06:39:44
0
pacifiquemadepase09
pacifique madepase :
Kwani ni congo gani una elezeya mkuu
2025-09-06 04:47:40
0
julsonmulekya
Julson Mulekya 👉🇺🇬🇨🇩🇰🇪 :
jama hatjuwii wewe ni alshababu 🤣🤣 Ila ujuwe kama Ile Congo unaongeleya ni Brazzaville 🇨🇬siyo Congo 🇨🇩 original , hajuwi ata Story YA Africa.
2025-09-06 05:29:14
0
user4761639122302
user4761639122302 :
we we we we, Congo gani njoo uko nasema ?
2025-09-06 05:54:34
0
user727210810581
Amira samata @@@@ :
Kwani aka ksnasema congo gani onakalivyo konda
2025-09-05 20:40:27
1
maiko10282000
michaelkifyula :
jamaa hua hukubal matokeo
2025-09-05 20:50:17
2
l.raby6
Raby :
unaongelea congo ipi 🤔🤔🤔🤔🤔
2025-09-06 08:44:26
0
maxsyayira
George syayira🇨🇩🇧🇷✅✅ :
iyo siyo Congo ni Brazzaville
2025-09-06 00:45:58
0
samgmrosso
samgmrosso :
Leo kasongo Haweka pesa 😂😂😂 #mmekaliadyudyu Leo Mbna hampigi kelele Leo mmoja anambie watoto wa kasongo mko nafasi ya ngap kwa kundi
2025-09-06 03:05:28
0
user1826035953206
Kelvin JR :
Wana mchezaji anacheza Hatanyospar ya uturuki mwingine anachez Dila Gori ya Georgia.... 😁
2025-09-06 07:24:45
1
foxpapey
Foxpapey💛 :
Kanywe uji wa lishe umee
2025-09-05 20:52:45
1
uwezo25
Sammy Dom-jay 💞🇨🇩🇰🇪 :
hiyi ni Congo Brazzaville sawa unabonga ata kitu aunjuwi fala sana
2025-09-06 06:44:18
0
stevenayo0
ssvn :
wwe ni mqundu inakuwasha tunakujua kuma wewe
2025-09-06 03:13:11
0
mundukundi
nguba mundukundi :
c'est ne pas mon pays congo 🇨🇩
2025-09-06 05:04:03
0
zuhura752
user7530681750701 :
Acha kujifariji Gambia piga kichwan bado wanapumua 😂😂
2025-09-05 19:33:37
4
witiemgonto
witie🤩 :
Mnapenda kujikosha 🤣🤣 bila kuitaja tz hamjalala🤣🤣🤣
2025-09-06 02:33:26
1
giresse.muhongya
giressemuhongya :
Sura mbaya iyo ni brazzaville 🇨🇬siyo Congo🇨🇩
2025-09-06 04:40:35
0
To see more videos from user @iam.emillio, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About