@oa62022:

master chef  omar
master chef omar
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 05 September 2025 19:17:34 GMT
72706
4810
344
197

Music

Download

Comments

nixonnyamboga4
Your next boss :
hatuezi toshea wote ...just represent us well and invest
2025-09-06 01:27:34
315
lizmushka
Liz Mushka :
Weee unacheza na kuishi juu ya maji kila siku wee pata tw iyo 130 yako kwa amani…🤣🤣
2025-09-06 11:25:30
4
thatperson_huh
..🫣 :
tuna apply wapi
2025-09-06 10:51:42
0
jane.ngeera
@kenyafinest 3 :
kababa Wacha nitulie na 210k yangu hapa Dubai na ni 8 hour only 😂😂😂😂😂😂😂
2025-09-06 04:48:58
29
carenblixen96
carenblixen :
I have been rejected 30 times in this cruise job application... kindly show me the format of your CVs maybe that's where I go wrong
2025-09-06 06:54:29
23
shirleennjerichege
🎀🍬ShirleeNjeriChege🍬🎀 :
yes we know 😂😂but hatutakii vyombo 3000 na ni 16 hours😂😂ambia watu ukweli na contract ni 8-9 month na unaeza enda leave ukose kurudishwa job😂😂😂
2025-09-06 01:02:45
31
shillamulindo1
Sheela :
weee nawee si uache uongo,just tell people the reality
2025-09-06 10:55:32
1
michaelmanka4
@Bahathepoet,💖 :
bitter truth watu ni wavivu tuu,cruise jobs hazina connection,ni wewe na bidii Yako,fanya research,kua mjanja , CVs apply hata na tatu in 3 different entry jobs..na hii Io job ya cool kids
2025-09-06 08:44:32
0
lindathamuj254
letisha k 124 :
wambie 1000 Euro na Uta depend waishi wapi if in Europe hio pesa kidogo
2025-09-06 11:49:42
0
pcaludaaluta
Aluta :
The higher the pay,the higher the risk, unafanya kazi ni kama unakufa kesho.
2025-09-06 04:48:46
47
njorogesamuel774gmail.c1
njorogesamuel774gmail.c1 :
huyu hata akioa Bibi nibkugongewa Tu....they never have time with family
2025-09-06 09:25:51
1
mac_mutha
Moses Mac Mutha :
Na sio vyombo mbili ni kama viombo 3000 per day 😭😭😭tuambiane ukweli
2025-09-05 22:58:37
215
royalwoman.3
royal woman :
shda ni connection ama uoshwe
2025-09-06 08:07:26
6
phridah5
@: " " :
weww Wacha mambo galley attendant Ni $350 after every two weeks 😂😂😅 unachoka Karibu ukufe
2025-09-06 10:47:29
0
miano482
@Miano :
Yaani you travel huko kwote ulipe 130k...Toa expenses uniambie utabaki na pesa ngapi c afadhali ubaki tuh huku kenya
2025-09-06 03:20:32
4
0aggiethegreat
AGGIE THE GREAT :
shida ni eti hamuezi tuconnect
2025-09-06 12:46:52
1
maryamkahindi761
Majid Kahindi :
Unataka tukuulize how alafu utupee connection then pesa iitishwe sasa sindio? 🤣🤣🤣🤣🤣 Kama job ni nzuri ww kula enjoy maisha usituambie
2025-09-06 08:46:21
0
boychild.1
savage :
alafu kuna kuonjana hapo kwa hio cruise ship? 😂😂😂
2025-09-06 08:26:12
0
mutheubrownie
🦋Mutheu kamamie🦋 :
Nazo viombo utaosha mpaka ukienda kulala unaota ukiosha viombo 😂😂😂
2025-09-06 07:57:57
0
pertmain
Proudly African woman :
Application ndio noma,requirements pia
2025-09-06 04:31:44
0
riversea16
unknown❤️ :
aki si utaftie family yako muomoke wote
2025-09-06 11:45:25
2
dk6598
Dk :
kwani umemaliza kuandikisha watu wenu😂😂😅 fanyeni on our behalf
2025-09-06 11:18:58
1
sheerow022
Sheerow ❤️ :
tuambiane ukweli kuhome ama kupumzika ni binguni tu kwa hii job
2025-09-06 08:51:24
1
stacysnow7
snow🎶 :
huyo ni chef guys😂
2025-09-06 08:26:46
0
3114mikel
mikel :
sahio nmeona watu wakishtuka afande denno akiresign kazi ya polisi 😂😂 there alot of better paying jobs here out ,usilipwe 25k ety juu unafanya kazi kwa serikali,
2025-09-06 07:49:13
0
To see more videos from user @oa62022, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About