dada mm nauso wa mafuta nipake nn ili chunusi ziishe kwa haraka
2025-09-06 07:44:42
13
Mrs Jeph :
Mimi nilikuja dukan ukanipa skin care nzima kila kimoja kina niacinamide wallah vikaanza kuniwasha hatar na kukakaamaangozi na nilitoa 270000 yaaan nikivitazaman natokwa na machozi face wash serum moisturizer sunscreen yaan nimepata hasara kubwa sana
2026-04-28 11:46:53
1
Cherie Elsah 🫧🌸 :
Amesema ukweli kabisaaa 🥰
2025-09-07 23:19:16
11
mafidopozz :
hi
2025-09-11 09:46:40
1
am irynlove 🤍 :
ndo nguo
2025-09-08 18:37:47
1
sabrina :
dada mm uso wangu wa mafta napka loshen unakuwa unawasha
2025-09-19 07:17:48
2
Suzy :
Ilaaa N nakupenda dada mpambanaj
2025-10-17 14:20:12
2
M'Glow :
niffer miusinizuie kulike post zako you do extra kwa wateja wako nakupenda kama ww unavyotupenda kwakutuletea vitu quality with good price🥰Allah akuweke kwaajili yetu
2025-09-12 09:02:36
8
fify vehra :
mimi nikipaka face cream yeyote laazima iniletee majanga kuwasha uso na vipele vidg vidg vingi
2025-09-06 19:24:14
7
Sherter kabora :
Naomba no plz unisaidie ni kwa nia njema kabisa
2025-09-11 11:57:56
2
ISSABELA KAMGUNA :
dada Mimi natumia Vaseline lotion inaniwasha hatari
2025-09-06 14:08:17
3
it's,jay🦚🦋🦋 :
aya wale wale wa ccm😂😂😂
2025-09-05 23:46:34
4
Grace Poline :
Mimi nawashwa sana jmn sina raha
2025-09-18 18:43:44
3
Toto N@h! :
ikakupa ndevu
2025-09-10 19:45:37
1
Happy :
hichi ndo kinanitokea kwa sasa uso unawasha mpaka naona unaumuka
2025-09-14 20:05:11
2
Ester Essy :
nitumiye namba yako nifaa naomba
2025-09-09 00:57:22
1
Lilian alfred :
nakuja jumapos baby unipe vitu vizurii🥰🥰🥰
2025-09-17 11:56:23
2
nuraa_beautifful12 :
dada mm natak fac crim nzur☺️🥰
2025-09-13 08:44:31
1
binty Mdoe :
nmekuelewa mpk raha❤️❤
2025-09-11 10:50:29
1
𝗛LDA🇹🇿🇰🇪💚 :
nakupenda sana we dada
2025-11-17 11:38:59
1
mafidopozz :
mm natak iyo vitamin C nipo Zanzibar naipataje
2025-09-11 09:47:43
1
edna Kajembe :
nahitaji mafuta
2025-09-09 15:29:13
1
beautiful editha :
bio plus carrot umeleta dada yake
2025-09-19 01:10:49
1
# :
asante mm huwa nawashwa uso
2025-09-07 03:55:54
1
afrika_678 :
mbali vipi ,umeamua kusaidia watu onesha hiyo bidhaa
2025-09-06 07:57:51
1
To see more videos from user @niffer_cosmetics, please go to the Tikwm
homepage.