@nyigu: We meet again @anna_sg2.0 please add her she is amaizing ❤️🙏🏾 #Dunia on repeat #Angelnyigu 🎵 @MARIOO

Angelnyigu
Angelnyigu
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 06 September 2025 09:19:45 GMT
2120405
102242
1744
1350

Music

Download

Comments

user25410865541677
Irene Steven :
anae mpenda mungu kwa dhati gonga like hapa
2025-09-06 13:29:45
2486
noblekingson512
NOBLE KING'S SON :
Iyo chupi tu ndo ime aribu mambo yooooote kabisa,Yani utamu una kuja una kata sababu ya iyo chupi 🤣😂
2025-09-08 08:43:03
167
whitehorse312
white horse :
kama ww ni mtanzania unaeshimu maadili gonga like hapa
2025-09-06 10:30:07
974
mbassa92
Erickmbassa :
Tunza hizi video za uchi utakuja kuwaonesha wajukuu zako.
2025-09-06 11:06:19
133
christabel91901
Christabel 💞💞💞💓💓💓🌹🌹 :
Wale was like 10 mpo
2025-09-12 20:24:54
6
kriss.brown1
KRISS BROWN TZ :
Unae soma hii comment mungu akulinde 🙏🏿🙏🏻
2025-10-24 07:43:07
24
demapoz
demapoz :
wa like mkuje nmewah
2025-09-06 11:09:46
9
jalician
JALICIAN :
tulakian video 6
2025-09-06 10:26:34
17
veila.emanuel
Veila Emanuel :
Wale5/5 video mje
2025-09-06 16:54:21
16
smile.girl7187
smile girl 👧 :
nime angalia mara 2 ,2 hiy nguo ya chin daaah kweli wa2 mna ujasir wa kuvaa
2025-09-06 09:51:17
180
suhairah227
Officialsuhairah@227 :
Wale wa video 5 kujen
2025-09-06 17:54:17
19
myhart567
myhurt567 :
wale wa like 10 mkuje 🥰
2025-09-06 14:15:19
23
winga_jose
Mr_winga :
likes za mzungu apa🔥🥰
2025-09-07 06:59:47
146
lomi0023
lomi~bless og🎀 :
wale walike 5 tujuane familia ila
2025-09-23 07:04:20
12
baracka1996
baba enerda 🔥🔥🇹🇿 :
yani adi wagaibuni wanamzidi kwa kuvaa kwa eshoma mbn uwa tukifika uko tunajifanya ss ndo wazungu kuwazidi wenye uzungu wao Jamani punguzeni mtauponza
2025-09-08 03:23:00
9
kanonko99
KANONKO :
mbona chupi nyeupe tako jeusi?😳😳 mnifolow
2025-10-22 17:52:01
28
jboy27602
jboy :
na wee kutuvalia pamps ndo nin 😂😂😂
2025-09-08 16:04:29
11
mirrajunior
Justina m,m,🥰 :
wale wa 5.5
2025-09-06 14:49:24
11
carengag
Caren G :
Ndonini Angel umeenda kutuaibisha hata mzungu mwenyew anashanga nachupi yako yam2mba ukute ilikuwa ya shangazi yake
2025-09-06 14:51:32
6
estadominick
Esta Dominick😘❤️ :
Ako ulikovaa keupe sijui ni kanini tu kameniudhi 😏😏
2025-09-07 12:31:46
50
david.yusuph
David Yusuph :
Cha ajab wazungu ndo wametuachia hizi style za kuvaa hii 😅😅😅😅
2025-09-06 11:41:54
93
oliva.diami
Oliva Diami :
Mnajikuta wazungu lkn mzungu mwenyew kajistiri
2025-10-04 08:22:34
5
happiejooh
Happie Momáh🥰☺️ :
Mwanaume atakayegusa comment yangu namtongoza😔😂
2025-10-14 16:47:30
23
modesta.modesti97
modesta modesti :
yaan wew mdada sikupendi Nin sasa hicho umevaa aibu tupu sijui nilimchupi au nep mpuuzi eew
2025-09-06 20:34:52
5
shany4868
Shaz :
ata heri sisi wakenya tunavaa nguo za usiku mchana😂😂,,hizi ni gani macuzo?😂😂
2025-09-06 20:18:29
7
To see more videos from user @nyigu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About