@siasatz: Rostam anasema Watanzani tunafurahia wageni wakifanikiwa kuliko wenyewe kwa wenyewe, Tunasherehekea umasikini kwa kuamini kwenye kushushana kuliko kuinuana. Je, Tuna roho mbaya? #SiasaTZ #SiasaZetu #Rostam
Watanzania wengi tumelelewa katika mazingira ya chuki,,, Kuanzia kwenye familia zetu ukiona ndugu yako kafanikiwa familia nzima mnamchukia na kupambana kumshusha..Ndio nature ya watanzania wengi tangu wanazaliwa na kukua wengi wamelelewa kuchukia watu waliofanikiwa
2025-09-06 12:19:00
11
naima seif :
mmemuua JPM na wewe unahusika
2025-09-06 14:26:20
1
RWay :
Kweli tunasheherekea mtu kujiita mnyonge sisi ni watoto wa wanyonge chuki tu kwa matajiri tunataka ashuke🤣🤣
2025-09-06 15:16:46
0
Emilius Kipinga :
Kwer kabisa 5 tena
2025-09-06 10:21:47
4
chipo :
hakika
2025-09-06 10:17:26
5
Halima :
sisi tumejawa na chuki sana kama huyu jamaa angekuwa mzungu watu wangekuwa kimy ila ni mtanzania bc chuki zisizo sabb
2025-09-06 12:14:37
8
@abely :
kwani we ni mtanzania kweli? au acha na Tanzania we kwenye African speaking language group lako ni lipi au we kabila gani?
2025-09-06 10:24:25
2
Moreover spirity :
hamna kitu apa hyu kaja kujipanga kuongea hvyo me najua rostam wew umekuwa kutuibia kwann biashara zako unazifungafunga unaalika nchi za nje kuja kuwekeza kumbe upo nao kujiunga kutuibia me najua
2025-09-06 10:30:33
2
moshedayan77 :
tumeshaanza kukuelewa kuwa wewe ni ccm mtandao
2025-09-06 14:27:01
0
Said Sishing :
umesema kweli comred rostam
2025-09-06 09:53:20
6
endihaston :
unazani atujui bc ni kuiga tu mkumbo wa wakubwaa zetu wakitujaza sumu bc tunalipuka yani unakuwaa maskini 20 wamekaa sehem moja kuwasema matajii wa2 tu yuleee yuleee akiamungu kiukweli ili loho chafu litutoke kwakweli
2025-09-06 11:51:50
4
masoudabdallah627 :
fact👍👍
2025-09-06 10:43:19
3
Everything :
Kemea chuki za kisiasa yaliopita yameshapita iwe kweli iwe uongo #POLEPOLEINATOSHA.
2025-09-06 14:01:49
1
Ashu Barbosa :
mi 5 tenaaaaaa maneno mazito
2025-09-06 13:27:13
0
Abdisalam Jamal :
Muwezekaji wa kitanzania ni maendeleo ya nchi kuliko muwezekaji kutoka nje ya nchi kwani faida anayopata anaipeleka kwao Rostam ni mchumi anachokizungumza ni ukweli mtupu.Tuache tusi sikilize wachochezi hawapendi maendeleo ya nchi yetu.
2025-09-06 11:11:19
1
darprintingandstationery :
Nakubali
2025-09-06 10:44:20
2
alt :
Tuna husda, nature yetu hio
2025-09-06 11:03:28
1
mejagaming :
huyu baba anaakili sana huu wote ni ukweli mnoo kuna watu wengi hawapendi mafanikio ya mtu na hata mipango mizuri wanatamani iwe yao
2025-09-06 10:17:01
6
piccasoshoots :
Umasikini na Chuki 😤
2025-09-06 11:53:01
1
vooo :
mwizi mkubwa
2025-09-06 14:44:31
1
abella :
watanzania wengi awapendi ukweli chuki ,ubinafsi na wivu,kulalamika hovyo ndo umasikini wenyew
2025-09-06 13:51:20
1
mukhtarashraf566 :
The 🐐✅💯
2025-09-06 10:20:24
2
hlmo :
mm sijui je unalipa kodi inavyotakiwa kama wanavyokutuhumu ?
2025-09-06 11:43:54
1
Ceefaustine :
ndani gani????
2025-09-06 10:44:09
1
Anganile :
kataa wahuni shtuka
2025-09-06 10:46:29
2
To see more videos from user @siasatz, please go to the Tikwm
homepage.