kila mtu ndo mara yake ya kuishi dunian , tupunguze kupeana maelekezo
2025-09-06 12:26:20
872
A90 :
fake it, until you make
2025-09-06 15:24:58
264
DigitalDaze Tz :
Mpaka lini ? walk on those blessings if you prayed for it the rest God will provide usiogope kuwa nacho uoga ndio umaskini na udhaifu . we all live once get that latest phone get that Range 😌 the rest is not your story to worry
2025-09-06 19:00:47
32
zizah🎀💕 :
HAPPY BIRTHDAY TO ME
2025-09-08 18:22:23
7
mis.nellie00 :
Ila ukweli unauma watu mnakasirika nn😂😂
2025-09-06 13:32:58
145
Ukweli__001 :
I have three car nliibiwa moja I couldnt afford a new one immediately but within a year nlipata ingine and bought 2/more cars ni mungu tu na bidii
2025-09-07 16:36:17
5
Engineer by Nature :
Vijana hawawezi kuelewa hii
2025-09-06 11:16:09
115
zakariachacha0 :
kwahiyo ukijenga nyumba ya m100 mfn ikaungua bahati mbaya unatakiwa kuwa na m100 nyingne hii mfn mingine watanzania tuwe makini
2025-09-06 17:28:11
51
kendrick :
hii huwezi elewa mpaka ikukute 😂😂😂
2025-09-06 11:51:34
24
Shella🤖💯 :
hiyo kitu ni real ata babangu aliniambia👍🙌
2025-09-06 23:09:48
13
Nkakeen🎀 :
kwa maana hiyo sahv natakiwa niwe natumia kitochi tena cha itel 😂😂
2025-09-06 18:27:32
9
arbogast84 :
Jamaa umeongea kitu.
2025-09-06 11:05:04
64
joe :
wa 10/10
2025-09-06 12:05:34
6
MZEE MASAKI :
allahmdulilah naishi kwa bajeti yngu 🙏🙏
2025-09-06 12:41:15
12
SAWA :
Ushauri umekuwa mwingi sanaa nowadays 😂hemu mtuache tuishi
2025-09-06 22:30:18
7
shabanimatataissa :
kama haupokwaajili ya kubisha utakua umemuelewa jamaa vzr
2025-09-06 18:07:06
5
Yb unfilitered :
Kitu chochote usichoweza kufanya mara kwa mara basi sio uwezo wako
2025-09-06 12:16:15
12
Amimaa :
Huwezi kuwa na maisha mazuri km huwezi kumiliki vitu vizuri blaza nanukimiliki Iphone ikipotea trust me huwezi kununua infinix lazima utanunua Iphone tena inaweza kuwa zaidi ya ile
2025-09-07 14:42:12
6
paco :
Kuna people zimeguswa penyewe zimemind kwenye comments 😂😂
2025-09-07 12:02:26
7
ole kamunyu :
Facts Hii Ila vijana Ukweli Unauma Makasiriko ya nini😂😂
2025-09-06 20:46:49
5
Joseph Joackim Mongi 🇹🇿 :
Vijana 😂 ujumbe uo
2025-09-06 14:03:29
7
sulu1103 :
Fact Kutoka kwa Top score
2025-09-06 10:51:16
8
Rahabu Letika :
yule mwiz yule mwiz yaan iphone yangu 😏😏
2025-09-06 12:02:51
19
msasa_curtains :
motiveshen spika wametosha, mnafosi sasa
2025-09-06 12:51:55
14
Daz_G_Enterprises_TZ :
They saying "If you can't buy it twice, you can't afford it"
2025-09-06 14:05:36
44
To see more videos from user @alkhym, please go to the Tikwm
homepage.