@hawaronaldo45: Tupikeni Chila na chai ya maziwa taam MashaAllah ♥️ #creatorsearchinsights #fyp #foryou #foryoupage #fyppppppppppppppppppppppp

hawaronaldo45
hawaronaldo45
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 06 September 2025 11:35:11 GMT
385381
13688
379
1126

Music

Download

Comments

qetsiyahkinara
🌸TheOnlyQetty🌸 :
Chila haigeuzwi lkn au ndio chila za siku hizi
2025-09-07 19:15:41
47
ramshybaby
Mrs vybz :
ni vibibi hvo
2025-10-13 08:59:59
0
salumdunlop
Salum Dunlop :
oya wee bado kupika chila 😅hii haigeuzwi inapikwa uapnde 1 upande mwengine unaiva kw vuke cos unakuwa umeifunika juu
2025-09-22 12:05:57
7
mumuh0021
it's Mumuuh💝💗 :
hzi video uwa na save siku nkiolewa ntapikia mume wngu😂😂
2025-11-25 08:14:39
0
rothea15
Rothea 152 :
Ahsante sana Hawa kwa kunitesa 😂😂😂
2025-09-06 19:05:00
7
hijjab.gurl
Hijjab gurl :
Lazima pishori babe au unaweza tumia wa kawaida
2025-09-06 11:41:49
35
awesu.skill.bang
awesu skill bang :
mashaallah 💋
2025-10-22 20:35:00
0
official_tangaraha_tz
Official_tangaraha_tz :
Masha Allah
2025-10-17 16:20:17
0
fddddddfghg
asma :
kumbe hata basmat inafaa
2025-10-24 12:30:32
0
shanty.bby
shanty bby :
Me ndo nashangaa watu mnaibishana sjui kibibi sjui chila na me ndo ata sjawahi ona wala kula😂😂😂😂
2025-10-08 12:45:30
30
user8711304048620
mamy thar :
chila mbn haiguzwi mara mbili jmn aw sijuwi
2025-09-08 18:46:38
14
geesenyagula01
Geseenyangula :
Mashaallah🥰🥰
2025-09-20 19:40:15
1
sumy7449
S🌚 :
Recipe yako Waeza tumia kupika mkate wa sinia
2025-09-06 14:12:34
7
komepizzabankskom
mapenzilove :
dear naweza weka mayai utamu ajabu napenda mayai so sio mbaya nikiweka ama 🥰🥰❤❤❤❤
2025-11-04 12:01:13
0
jacque..store
😘jacque..store 🥰😘 :
mbna sukar ni nyeupe da hawa🥰
2025-10-21 14:00:39
1
abuuzthuma
user4595564550659beib thuma :
pan hupaki mafuta 😌nijibu kabla sijajipikia maajabu
2025-09-16 00:04:04
8
naoram10
Naoram10 :
mikate mitam hyo ila tatizo mm nikishiba mmh☹️kilakitu naona hakifai
2025-10-28 07:11:05
1
winnie.wanjiru21
Winnie Wanjiru :
vibibi au, Sasa naitaji kuelezwa tofauti ya vitumbua, vibibi ama chila please?
2025-09-25 10:32:02
0
fddddddfghg
asma :
hapo kweny kuchoma unaweka mafuta kidog ama
2025-10-24 12:31:27
0
nasha.mcute
Nasha mcute :
nataka kujua umetia ninanini hapo
2025-09-15 12:05:55
0
rasler82
ladposh🌹🌹🌹 :
chapati kitumbua mashallah
2025-10-24 17:19:23
0
mariam1234653
mariam1234 :
hii ni angelo
2025-10-25 21:32:15
0
shifakidoty
Shifa kidoty :
ni lazima uzage kwa pamoja
2025-10-01 17:14:55
0
user3436960304983
ummu umayra🥰🥰 :
nilizani kama mnatiyaga ngano kumbe ni mchele tu
2025-10-11 05:37:19
0
shavu053
shavu@dodo :
me nilijarb ila mchele haukuwa mlain kama ww
2025-09-22 18:20:24
0
To see more videos from user @hawaronaldo45, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About