@mcbrazadavy: Wala hausumbuki🤣🤣..@Geekisuke #couple #relationships #fypシ゚ #marriage #videoviral

mcbrazadavy
mcbrazadavy
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 06 September 2025 15:40:06 GMT
90820
3298
252
637

Music

Download

Comments

bakari.kaoneka
Bakari kaoneka :
Ila ukiwa na hela ni poa sanaa
2025-09-07 08:56:01
19
frank.nditi
Frank Nditi :
Hahahahah😂😂kwani hizi unanunuaga wapi?.😂
2025-09-06 19:01:34
0
davidmasanga405
masanga :
sawa wajina hakunaga david mjinga 🤣🤣🤣
2025-09-08 12:09:39
0
mohamedamos146
MohamedAmos :
devi kikao kijacho nakulipia bia na nyama broo umewakilisha chama😁😁
2025-09-07 05:25:39
38
godsia7
Miss Urio❤❤ :
Mbn devi 🙄🙄 nkajua kwangu tyu kumbe tupo wengi😀😀😀 wakina devi mbingu wataiona kwa view once😀😀
2025-09-06 18:50:42
2
kevoonm84
kevoo :
🤣🤣🤣 yaan katoka nje kidogo tu kakutana na jua kalii na akifikiria soko lilivo gumu huko nje kaona kama mbwahi na iwe mbwahi bora arudi! 🤣🤣
2025-09-07 22:51:24
3
zawadiminja330
user30 :
yani nipige hatua moja nirudi tena haaaah hapna kwakweli
2025-09-06 18:52:34
5
missg839
Miss G :
m cwez kurudi
2025-09-07 05:04:49
0
user90558365442183
user90558365442183 :
unyumba wa namna huu, kuachana sahau🤣🤣🤣🤣
2025-09-07 12:44:51
0
genevivej
GeneviveJ :
Yanii this is my husbae anajua hii mbuzi haifiki kokote😂😂😂😂😂😂😂😂
2025-09-08 13:21:48
1
abuu123124
abuu@123 :
this is a men 👍🤣🤣🤣
2025-09-07 12:51:51
0
mr..ben797
Mr. Ben :
ana bahati huyo, wengine tunafunga mlango kwa ndani hurudi tena
2025-09-07 12:19:58
5
agnesshitindi
Agy :
jina tu dev atakuelewa kweli🤣🤣🤣🤣
2025-09-06 16:44:19
16
user1131309331207
Adeline❤️ :
huna ata mia na unataka kusepa tutumie namba za devi basi🤣🤣
2025-09-06 21:46:16
2
johnleballo
Leballo :
Nimekuelewa sana Brow.
2025-09-06 17:11:34
9
user1684447461016
user1684447461016 :
😂😂😂😂 eti unanunuaga wapi
2025-09-06 16:26:46
17
zongii09
JONII :
kwani hizi unanunuaga wapi?
2025-09-07 10:47:29
0
rosemary.silveste1
Rosemary Silvester :
huyu dada kaniacha hoi , ety nimelud kwasababu ya mama yako alioko kule kijijn😅😅
2025-09-06 21:37:48
7
abraham.mkondya
Abraham Mkondya :
wanaume.oyeeeeeee
2025-09-08 06:54:28
0
hafidhumussa
Injinia hafizu Tz :
Mitano tena kwa dev 😂😂😂😂😂😂
2025-09-07 02:21:02
2
katemi787
Katemi :
haka ka binti kama siyo kanyiramba bas katakuwa kanyaturu.
2025-09-07 14:45:57
0
nelsonmwakalinga
mwakalinga :
anahudhuria vikao awe mwenyekiti msaidizi
2025-09-07 01:05:14
0
lovly4288
lovly :
Hapo hamna upendo mpenz ya kwel huwa ata kama kaz zinakubana vip lazima utafute muda kwa jil ya mwezio
2025-09-07 08:03:00
0
sheila_kidala
Sheila :
mwanaume ana dharau uyu me ngembonda kichwan
2025-09-07 08:59:38
3
roynoldsarnold
Roynolds Arnold :
nikontent nzuri hawa viumbe sio ,,,kila siku wananikimbia🤣🤣ubusy afu wanasahau wanakula ndani🤣🤣
2025-09-07 04:50:20
1
To see more videos from user @mcbrazadavy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About