@professormk2: SUBIRA KWENYE MAPENZI MAJABARI HUWALIZA ANAITWA KEY KISURA TAMTAM BAND LIVE SHOO

professormk2
professormk2
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 07 September 2025 11:34:13 GMT
219450
6577
173
967

Music

Download

Comments

amore.amore103
amore amore :
hii song ikimbwa n tumaira waeza lia huyu kajaribu tu tumayra n haswa
2025-09-13 08:58:47
22
mamadojo
user4511867647790 :
hujaipatia umeiharibu
2025-09-13 08:19:31
7
ismailally729
Isma :
Unaharibu nyimbo ww
2025-09-13 22:11:16
5
bellakwiji005
Bellah’s Touch :
mnapiga na ngapi kenya
2025-09-12 23:41:33
3
moperfumes001
Mo Perfumes 001 :
Huyu dada wamoto balaaaaaaaaa ongeza kidogo dada ututeke kabisa tuhamie kwako🥰💯💯💯
2025-09-08 20:19:22
7
aikakalulu
swalna ♥️ :
siku hizi unapiga wapi
2025-09-11 16:41:47
3
wojgirljr
WojgirlJr :
umepatia sana
2025-09-20 14:38:57
3
user3552942430154
Aisha mzee :
marhaba wajitahidi
2025-09-13 21:00:55
3
13zeddy
Zeddy :
Asanta mama walahi naupenda san wimbo wako🥰🥰🥰🥰
2025-09-12 18:26:01
5
user5636500432529
@fahady :
tumaira ukowap sauti yako uwa inanisisi muwa bahna
2025-09-16 20:27:09
2
sulesh17
SULESH :
nataman niskie gomajengine kutoka kwake
2025-09-18 06:20:51
2
haniabby562
hania bby62 :
mm natka full jmn naipenda sana 🥰
2025-09-13 13:00:00
4
user4438724455217
CLOTHES UKP SHOP :
mm nataka kujua ratiba dar
2025-09-15 15:31:39
2
mrsmasud123
mrsmasud123 :
jina ya wimbo dadaz
2025-09-16 18:31:39
1
salma...12345678
user5114215456358chama Riri :
mtumwambaruk hajaimba hivo mwenyewe ila inatosha hukukosea sana
2025-09-16 23:20:11
2
shakiguna
shakiguna og :
naomba jina la wimbo
2025-11-24 19:30:27
0
user4354955377731
user4354955377731 :
kuna maisha baada ya maisha ulimwengu ni hadaa tusijisahau
2025-10-10 15:07:42
1
zenasalimu3
zenasalimu :
Masha Allah 🥰🥰
2025-10-14 22:15:46
1
luckylady245
luckylady :
sauti mashallah
2025-09-13 02:03:23
3
nouman.nasri
Nouman Nasri :
Asha simai hajaimba hivyo au hiyo remix
2025-09-13 21:03:10
3
mishy324
Mishy :
Mashaallah sauti tamu mamaaa
2025-10-01 07:19:12
1
genius77.com
YETU AFRICA music distribution :
uyu anaimba live au playback
2025-09-13 13:08:32
2
mbsuleiman2
mb suleiman :
nice
2025-09-14 12:45:11
1
salmaahmed_1968
Salma Ahmed :
kajitahidi lkni
2025-09-16 15:55:49
1
amida.ally
Amida Ally :
umeweza
2025-10-05 21:40:48
1
To see more videos from user @professormk2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About